Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,284
- 9,221
Tafuteni familia zao mke na watoto, siwafundish kilakitu
We kenge kwa hiyo unamshtakia nani? Mfanye uhalifu huko msikamatwe?Askari polisi kituo cha Nyegezi kushirikiana na mgambo wanakamata wateja wetu katika ofisini zetu za Nyegezi, Buhongwa Mkuyuni, licha ya kulipa mapato yote ya serikali, hii ni halali?
Wakiwakamata wanawapa kosa la kucheza kamali, je betting ni kamali?
Mbona tunakata lesseni na tunalipia TRA?
Kama Oktoba 29 hukutoka kuandamana kupinga uonevu na mifumo kandamizi huna haki ya kulalamika kwenye keyboard,kaa kwa kutulia dawa iingieAskari polisi kituo cha Nyegezi kushirikiana na mgambo wanakamata wateja wetu katika ofisini zetu za Nyegezi, Buhongwa Mkuyuni, licha ya kulipa mapato yote ya serikali, hii ni halali?
Wakiwakamata wanawapa kosa la kucheza kamali, je betting ni kamali?
Mbona tunakata lesseni na tunalipia TRA?
Ina faida gani kwangu?Onyesha slip
sawaIna faida gani kwangu?
Kama huamini basi mimi muongo.
Mbona hamuwasemei wale wanaochezesha kamali pale nyegezi stendi karibu na Barabara ya kutolea stendi, wale jamaa wamekuwepo pale muda sana wakiwaadaa Wananchi hasa wageni wa kiume kana kwamba wanakuuzia CD na t-shirt afu unawasogelea walipoweka Tv ,mageneretar, Pikipiki...na vifaa vingine vya ndani kwamba ucheze ukipatia number unapewa zawadi, wale jamaa wanapora Wananchi waziwazi...na polisi wanaona.Mwamba ee, nina wasi wasi na huyu gud, wale vibaka ni kama ana ushirikiano nao...na maduka anayoyasimamia hayana hata ulinzi nyakati za mchana...yaani ujanja ujanja tu..
Watu wanamzoom tu ipo siku ataeleza kwa namna anavyoshirikiana nao hao vibaka na wale wala mihadarati!
MBONA MADUKA NA KAMPUNI ZINGINE HAZINA ULE UJINGA
Nilienda leon pale chini walau palikuwa pametulia..ila kule juu ukanda wa passion wale bhna hatuwshukumu ila dhahiri shahiri hawskuwa na sura nzuri.Mwamba ee, nina wasi wasi na huyu gud, wale vibaka ni kama ana ushirikiano nao...na maduka anayoyasimamia hayana hata ulinzi nyakati za mchana...yaani ujanja ujanja tu..
Watu wanamzoom tu ipo siku ataeleza kwa namna anavyoshirikiana nao hao vibaka na wale wala mihadarati!
MBONA MADUKA NA KAMPUNI ZINGINE HAZINA ULE UJINGA