goodluck mtura
New Member
- Mar 6, 2014
- 1
- 9
Hujawahi ,mpasua kanji wewe,Kamari ni haramu
Hujawahi ,mpasua kanji wewe,
Jana nimepiga 6m.
Huyn ni wakala tu ana tu vituo anavyoita maduka..analo kirumba, mkuyuni, mwanza mjini, nyegezi, buhongwa.. Ni chini ya kampuni ya GAL SPORTKampuni gani nyie.mabosi zako wako wapi.
Mbona serikali wameruhusu wangezuia kama ni haramuKamari ni haramu
Basi polisi Wana njaaHuyn ni wakala tu ana tu vituo anavyoita maduka..analo kirumba, mkuyuni, mwanza mjini, nyegezi, buhongwa.. Ni chini ya kampuni ya GAL SPORT
Daah familia wewe1. Maduka unayosimamia wewe yanaongoza kulaza vibaka hasa la nyegezi hlo lilipo hapo passion gorofani
-wanaokamatwa ni vibaka, acha kutetea vibaka
2. Muda unaotumia kuwalaumu polisi, tumia muda huo kuwarekebisha wafanyakazi wako waache kutukana wateja, wana kebehi na dharau, ni wezi kwa kuibia watu mikeka, hawafai hata kidogo na umesababisha GAL SPORT ya mwanza waonekane ni wezi kutokana na maduka unayosimamia ya kirumba, nyegezi, mjini na buhongwa kuwaibia watu na kutokujali wateja..
3. maduka yako yamegeuka sehemu ya pumziko la vibaka au unadhani watu hawajui?
-tembea maduka ya ticha na buzuruga ujifunze acha kuleta ubishi wa kiha wa kufagia maduka kwa kutumia maganda ya ndizi..
4. hv unajua hata hvo vifanyakazi vya kike au acha....
Ndugu watu wanajisikia Raha kuwa na karatasi lenye urefu wa mita moja, hapo anasubir m20 kwa tsh 250 tu za kitanzania.Daah familia wewe
Juzi nilijaribu kupita hapo gal sport nyegezi.
Niliona uswahili swahili sana, halafu sura zote ngumu vibaka si vibaka mihadarati si,mihadarati
Nikashuka chini kuchungulia leon bet pembeni.
Sema kwa utandawazi wa sasa mtu kumuona anaenda kubeti ofisini naona ni mshamba sanaa,maana features zote zipo online tena online ni nafuu zaidi
Onyesha slipJana nimepiga 6m.
Mwamba ee, nina wasi wasi na huyu gud, wale vibaka ni kama ana ushirikiano nao...na maduka anayoyasimamia hayana hata ulinzi nyakati za mchana...yaani ujanja ujanja tu..Daah familia wewe