LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,

Maake hapo kwanza ncheke!

===

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la kuiangamiza familia ya mbunge huyo.

Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, imesema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa vijana hao waliokamatwa na wafuasi wa CHADEMA, walifika nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali majira ya saa moja jioni wakiwa na pikipiki mbili na dumu lenye mafuta ya petroli lita 20, kwa lengo la kuchukua pikipiki zingine zilizokuwa hapo na kuziwekea mafuta.

“Kwa kuwa nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya na nyumbani kwa Mbunge ni karibu sana nyumba zao zikitenganishwa na barabara, ndipo vijana hao walipokamatwa na kutuhumiwa kwamba walikuwa na lengo la kuchoma moto nyumba ya Mbunge Aida,” imeeleza taarifa ya Polisi.

Pia soma:
- LGE2024 - Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani usiku huu wakamatwa, wametumia pikipiki za Samia
Imeeleweka hiyo nilisema mapema wenye akili hawawezi kubali stori za kuchomwa nyumba!
 
Wakuu,

Maake hapo kwanza ncheke!

===

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la kuiangamiza familia ya mbunge huyo.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, imesema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa vijana hao waliokamatwa na wafuasi wa CHADEMA, walifika nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali majira ya saa moja jioni wakiwa na pikipiki mbili na dumu lenye mafuta ya petroli lita 20, kwa lengo la kuchukua pikipiki zingine zilizokuwa hapo na kuziwekea mafuta.

“Kwa kuwa nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya na nyumbani kwa Mbunge ni karibu sana nyumba zao zikitenganishwa na barabara, ndipo vijana hao walipokamatwa na kutuhumiwa kwamba walikuwa na lengo la kuchoma moto nyumba ya Mbunge Aida,” imeeleza taarifa ya Polisi.

Swahili Times

Pia soma:
- LGE2024 - Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani usiku huu wakamatwa, wametumia pikipiki za Samia
wale manyumbu walielezwa tangu mwanzo, uzushi na uongo haitasaidia mpate hata kitongoji kimoja .

nyumba gani ile ndiyo ichomwe na watu wengi kiasi kile ndrugu zango?🐒
 
Mafuta saa 9 usiku,
Kwa mkuu wa wilaya zinakaa pikipiki za ccm?
Kwa mkuu wa wilaya saa9 kunadanya kazi
 
Wakuu,

Maake hapo kwanza ncheke!

===

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la kuiangamiza familia ya mbunge huyo.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, imesema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa vijana hao waliokamatwa na wafuasi wa CHADEMA, walifika nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali majira ya saa moja jioni wakiwa na pikipiki mbili na dumu lenye mafuta ya petroli lita 20, kwa lengo la kuchukua pikipiki zingine zilizokuwa hapo na kuziwekea mafuta.

“Kwa kuwa nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya na nyumbani kwa Mbunge ni karibu sana nyumba zao zikitenganishwa na barabara, ndipo vijana hao walipokamatwa na kutuhumiwa kwamba walikuwa na lengo la kuchoma moto nyumba ya Mbunge Aida,” imeeleza taarifa ya Polisi.

Swahili Times

Pia soma:
- LGE2024 - Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani usiku huu wakamatwa, wametumia pikipiki za Samia
sijawahi kuwaamini polisi na kamwe sintawahi kuwaamini polisi maisha yangu yote na wote mjue hivyo,wamekuwa wahuni waccm
 
Bold neno "nia njema". Nia njema inakuwa guided na kuhakikisha kuwa Uchaguzi inakuwa huru na haki. Hivyo, kama kitendo chake hakikuwa katika kutekeleza Hilo anakuwa muhalifu kama wahalifu wengine hawana kinga
 
Inahitaji uwe na akili ya maiti kuwaamini polisi. Wale waliowaka,ata walikosea sana wangewavunja miguu wote kabla ya kuwakabidhi kwa hao majambazi wanaovaa uniform.
 
Wakuu,

Maake hapo kwanza ncheke!

===

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Kenan wakiwa na petroli lita 20 kwa lengo la kuiangamiza familia ya mbunge huyo.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, imesema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa vijana hao waliokamatwa na wafuasi wa CHADEMA, walifika nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali majira ya saa moja jioni wakiwa na pikipiki mbili na dumu lenye mafuta ya petroli lita 20, kwa lengo la kuchukua pikipiki zingine zilizokuwa hapo na kuziwekea mafuta.

“Kwa kuwa nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya na nyumbani kwa Mbunge ni karibu sana nyumba zao zikitenganishwa na barabara, ndipo vijana hao walipokamatwa na kutuhumiwa kwamba walikuwa na lengo la kuchoma moto nyumba ya Mbunge Aida,” imeeleza taarifa ya Polisi.

Swahili Times

Pia soma:
- LGE2024 - Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani usiku huu wakamatwa, wametumia pikipiki za Samia
Wauza mafuta hawaruhusiwi kuuza mafuta kwenye madumu. Watafute maelezo mengine
 
Kumbe madumu bado yanatumika kuchukua petroli.
 
ni kwamba they were at wrong place at wrong time
unabeba zako mafuta ya kuwashia pikipik gafla unazingirwa na watu wanakwambia unataka kuchoma.moto surprisingly et tena umevaa na sare hiv hata kiakil inaingia kweli? humu linapokuwa swalq la chadema watu wanajizima data kabisa. ili mrad lipo at their favor.
 
Ina maana hzo pikipik zinaishi kwa mkuu wa wilaya

Hakika hii nchi ukiwa mwanaccm unaweza fanya ujinga wowote na ukapona
 
ni kwamba they were at wrong place at wrong time
unabeba zako mafuta ya kuwashia pikipik gafla unazingirwa na watu wanakwambia unataka kuchoma.moto surprisingly et tena umevaa na sare hiv hata kiakil inaingia kweli? humu linapokuwa swalq la chadema watu wanajizima data kabisa. ili mrad lipo at their favor.
Lakini mafuta kwenye madumu yashapigwa marufuku?.
 
Ukiona tu kile kibonzo cha KP kinachoonesha taarifa ya police kwa umma jinsi na namna ambavyo MO alipatikana utakubaliana na hii taarifa kutoka Rukwa.
 
Back
Top Bottom