Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi?
Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta scenarios ambazo mnaziona nyinyi tu wenzetu wakati wananchi hatuna hofu yoyote?
Kulingana na Kamusi ya Kiswahili Maandamano maanda yake ni;
Vurugu maana yake ni;
Ukiangalia kwa maana hizo actually (kwa lafudhi ya Kihaya) nyie ndio mnatuletea vurugu, nyie wote na genge lenu ndio wachochezi wakubwa, mnaondoa amani nchini kwa kututisha kuhusu vurugu, na kuajiria wapuuzi kama kama Mwaipopo kuzidi kuongeza taharuki nchini.
Tulikuwa na amani ya kutosha tulipopata taarifa ya maandamano, na kwengine wakasherekea, mpaka mlipokuja na pigo zenu za vurugu! Watanzania tuna taarifa ya maandano na hatuna shida nayo, lakini pia hatutaki kusikia vurugu zenu.
Ushangaa serikali inayokubalika kwa 98% inaogopa maandamano ya 2%😂😂 aaaah embu tuelezeeni vizuri tuwaelewe inawezekana kuna kitu tunamisi wanetu, eti? Dr. Mwigulu Nchemba