Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

Huwezi kudai haki vitani au sehemu penye vurugu. Haki hudaiwa penye Utulivu(Amani). Hvyo basi Amani ni kubwa kuliko haki japo yote yanaenda sambamba na yanaumuhimu..Unapodai haki ukumbuke Amani..Na Unapodai Amani ukumbuke Haki...CCM VS CHADEMA wanapaswa kulijua hilo.
Mweleze huyu mzee wetu, haki ni kila kitu
 
Huwezi kudai haki vitani au sehemu penye vurugu. Haki hudaiwa penye Utulivu(Amani). Hvyo basi Amani ni kubwa kuliko haki japo yote yanaenda sambamba na yanaumuhimu..Unapodai haki ukumbuke Amani..Na Unapodai Amani ukumbuke Haki...CCM VS CHADEMA wanapaswa kulijua hilo.
Vita huja baada ya haki kuporwa. Mwanzo wa amani ni haki na si vinginevyo. Ukiona vita jua kuna haki sehemu imeporwa na siyo amani.
 
Amani vs Haki au Haki vs Amani?. Amani kwanza haki baadaye..Haki huombwa penye Amani.
Amani inakujaje bila kuwepo haki rafiki! Amani inatokana na nini labda, au ipo ipo tu yaani haitokani na chochote. Amani hutoweka kwa sababu gani labda. Hesabu kidogo tu: hebu jaribu kumnyanganya ndg yako mali yake uone kama Amani kati yako na yeye itakuwepo. Tusitumie neno amani kama kificho, kupotosha, na kuendelea kukandamiza haki za raia.
Amani kwanza. Haki baadaye. Amani ikivurugika hata hyo haki unaidai hutoipata.Kwahyo Amani ndo kila kitu.
 
Tulinde Amani kwa kudai haki. Amani ni baba wa haki..Amani ikivurugika Haki haiwezi kupatikana.
 
Money is not everything: tangu uhuru, nchi yetu imekuwa ni kisiwa cha Amani. Lakini mbona kila kona malalamiko na vilio vyà utekaji, watu kupotea/kuuawa, kubambikiziwa kesi, kukamatwa na kuwekwa ndani n.k haviishi? Nipatie sababu ni kwa nini!
 
Back
Top Bottom