Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Hata visingekuwepo watu huwa wanapiga hela ya umma tu. Soma ripoti ya CAGKitu nilichokibaini kupitia hayo matamko ya maandamano. Kuna vikundi, taasisi na n.k wamegeuza ndo fulsa ya kupiga hela..kwahyo tunapaswa kushtuka.
Kwahyo mnatugeuza Fulsa.Hata visingekuwepo watu huwa wanapiga hela ya umma tu. Soma ripoti ya CAG
Hakuna anayekugeuza fursa... watu wanapiga ndani nje uwepo usiwepo. Sababu za kupiga wanazo siku zote. Na CAG hafanyi kitu. Umemsikia former Cag amesema alikuwa anaambiwa asitoe report fulani na yeye anatoa. Jiulize kwa nini walikuwa wanamwambia aende kinyume na maadili ya kazi yakeKwahyo mnatugeuza Fulsa.
Wao wameviboresha yaani wame vi apugredi.Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi?
Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta scenarios ambazo mnaziona nyinyi tu wenzetu wakati wananchi hatuna hofu yoyote?
Kulingana na Kamusi ya Kiswahili Maandamano maanda yake ni;
Vurugu maana yake ni;
Ukiangalia kwa maana hizo actually (kwa lafudhi ya Kihaya) nyie ndio mnatuletea vurugu, nyie wote na genge lenu ndio wachochezi wakubwa, mnaondoa amani nchini kwa kututisha kuhusu vurugu, na kuajiria wapuuzi kama kama Mwaipopo kuzidi kuongeza taharuki nchini.
Tulikuwa na amani ya kutosha tulipopata taarifa ya maandamano, na kwengine wakasherekea, mpaka mlipokuja na pigo zenu za vurugu! Watanzania tuna taarifa ya maandano na hatuna shida nayo, lakini pia hatutaki kusikia vurugu zenu.
Ushangaa serikali inayokubalika kwa 98% inaogopa maandamano ya 2%😂😂 aaaah embu tuelezeeni vizuri tuwaelewe inawezekana kuna kitu tunamisi wanetu, eti? Dr. Mwigulu Nchemba
I think this is useless, right gentleman?🐒Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi?
Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta scenarios ambazo mnaziona nyinyi tu wenzetu wakati wananchi hatuna hofu yoyote?
Kulingana na Kamusi ya Kiswahili Maandamano maanda yake ni;
Vurugu maana yake ni;
Ukiangalia kwa maana hizo actually (kwa lafudhi ya Kihaya) nyie ndio mnatuletea vurugu, nyie wote na genge lenu ndio wachochezi wakubwa, mnaondoa amani nchini kwa kututisha kuhusu vurugu, na kuajiria wapuuzi kama kama Mwaipopo kuzidi kuongeza taharuki nchini.
Tulikuwa na amani ya kutosha tulipopata taarifa ya maandamano, na kwengine wakasherekea, mpaka mlipokuja na pigo zenu za vurugu! Watanzania tuna taarifa ya maandano na hatuna shida nayo, lakini pia hatutaki kusikia vurugu zenu.
Ushangaa serikali inayokubalika kwa 98% inaogopa maandamano ya 2%😂😂 aaaah embu tuelezeeni vizuri tuwaelewe inawezekana kuna kitu tunamisi wanetu, eti? Dr. Mwigulu Nchemba
Waache wale wewe Linda amani, Amani ndo Tunu ya Taifa letu au nasema uongo rafiki.Hakuna anayekugeuza fursa... watu wanapiga ndani nje uwepo usiwepo. Sababu za kupiga wanazo siku zote. Na CAG hafanyi kitu. Umemsikia former Cag amesema alikuwa anaambiwa asitoe report fulani na yeye anatoa. Jiulize kwa nini walikuwa wanamwambia aende kinyume na maadili ya kazi yake
🤣🤣🤣 dah!Wao wameviboresha yaani wame vi apugredi.
Haki kwa kila mtu kwanzaWaache wale wewe Linda amani, Amani ndo Tunu ya Taifa letu au nasema uongo rafiki.
Kwa mara ya kwanza umeunga mkono hoja ya mwenendo wa polisi na CCM usio sahihi.I think this is useless, right gentleman?🐒
Amani vs Haki au Haki vs Amani?. Amani kwanza haki baadaye..Haki huombwa penye Amani.Haki kwa kila mtu kwanza
Haki haiombwi bwashee. Haki inadaiwa kama haijatolewa kama inavyotakikana. Usipotoa haki hata kwa watoto wako nyumbani huwezi kuwa na amani. Usipotoa haki kwa jirani yako huwezi kuwa na amani. Kiongozi wangu wa kiroho aliniambia haki ni tunda la rahoAmani vs Haki au Haki vs Amani?. Amani kwanza haki baadaye..Haki huombwa penye Amani.
Haki huombwa penye Amani. Hapo je.Haki haiombwi bwashee. Haki inadaiwa kama haijatolewa kama inavyotakikana. Usipotoa haki hata kwa watoto wako nyumbani huwezi kuwa na amani. Usipotoa haki kwa jirani yako huwezi kuwa na amani. Kiongozi wangu wa kiroho aliniambia haki ni tunda la raho
Hiyo amani itakuwa wapi ili uombe haki. Wakati kama hakuna haki sahau amaniHaki huombwa penye Amani. Hapo je.
Huwezi kudai haki vitani au sehemu penye vurugu. Haki hudaiwa penye Utulivu(Amani). Hvyo basi Amani ni kubwa kuliko haki japo yote yanaenda sambamba na yanaumuhimu..Unapodai haki ukumbuke Amani..Na Unapodai Amani ukumbuke Haki...CCM VS CHADEMA wanapaswa kulijua hilo.Hiyo amani itakuwa wapi ili uombe haki. Wakati kama hakuna haki sahau amani
Haki hudaiwaHaki huombwa penye Amani. Hapo je.