Umethibitisha mbona ya ali kibao ujaweza kujibuHuyu sheikh kumbe mjinga sana, sasa ngoja akafungwe akili imrudie
Vita vya Hamasi Vs Irani.Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi milioni 521, na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.
Source Swahilitimes
Na mdude vipi, soka nayeJeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi milioni 521, na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.
Source Swahilitimes
Sheikh UbwabwaJeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi milioni 521, na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.
Source Swahilitimes
Nani alimteka Ally Kibao, Mdude, Soka na wengine na kuwapoteza maisha yao?Huyu sheikh kumbe mjinga sana, sasa ngoja akafungwe akili imrudie
Kwa hiyo wewe unaamini hiyo taarifa ?Huyu sheikh kumbe mjinga sana, sasa ngoja akafungwe akili imrudie
Hayo madeni alikopa kwa nani?Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi milioni 521, na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.
Source Swahilitimes
Umeuliza swali nzuri sana!Duuh shekhe na deni milion 521, alikuwa anatoa misaada gani katika jamii
Jinga wewe!Masheikh wa no reform ni mtihani kama wachungaji wao
Vipi Dainamo hajaenda Chumbani kwa Jamaa yake ?Masheikh wa no reform ni mtihani kama wachungaji wao