Polisi: Sheikh Zuberi Hakutekwa Alikimbia Madeni, Akamatwa Kufikishwa Mahakamani

Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.

Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi milioni 521, na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya taratibu kukamilika.
Source Swahilitimes
Angekimbia hadi lini?
 
Kuielewa hii Code mpaka uwe na akili ukiwa Chawa tu kichwa maji unatoka kapa.
 
Hapo Singida wana chuo au shule nadhani ya Islamic Foundation, na kuna kipindi waliwahi kuchekechwa kwa kuhusishwa na ugaidi
Tz ndo ilivo shule nyingi za kiislamu zimekufa kwa dhana hii ya kuhusishwa na ugaidi ila wala mambo hayapo hivo

Nakumbuka 2012 headmaster alivowajibu walivokuja shuleni kuleta hoja hizi
 
Back
Top Bottom