Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Inatia huruma sana Dah Inaumiza sana Fiston alikuwa analia uwanjani So sad kinachoumiza ni muda wa Magoli wanayochomolewa Mbeya city, Coastal, Polisi leo.
 
Hii timu hivi wako serious kweli hawa wap...uzi.
They are f****cking crazy hawa wachezaji and useless piece of trashes.
Nimekwazika kwa kweli kwa mambo haya wanayofanya wachezaji
Pole sana Mkuu, imbeni tu ule wimbo wa "tumeipenda wenyewe....chaguo letu ni nyie...wacha tuisome namba eee...Msimbazi mbele kwa mbele"
 
God kusalvesheni nini!
Eehh...
pyuuuuuuu!!!
Tumeokoka..
Ayaaa..
Tumeokoka
Tumeokoka
Tumeokokaaaaaaaaah
Tumeokoka!!!

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pale kocha hatuna! Timu imepata kagoli kamoja tu, kwa timu ndogo kama Polisi badala ya kuongeza washambuliaji! Anamtoa kiungo mchezeshaji Niyonzima na kumuingiza kiungo mkabaji Zawadi Mauya!

Isitoshe hii ni mechi ya pili sasa, ukiondoa ile ya Meya City! wapinzani wanasawazisha dk za lala salama! Kama Kocha mwenye ujuzi unashindwa kugundua tatizo la timu yako liko wapi kuruhusu magoli dakika za majeruhi!

Kwa hali hii Ubingwa msimu huu tusahau! Na njia pekee ya kurudisha morali ya timu, ni kubadili tu benchi la ufundi. No way out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…