Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Players wazuri hamna huwa mnadanganywa tu, wale kina Tuisila ni wakalia benchi wa Vita Club ambayo Simba iliwatandika pale nyumbani kwao.Kama shida ni yeye ni kweli its time heri aondoke tu.Nadhan inatakiwa sasa mtu awajibike.What the f***k are they doing timu ina players wazuri lakini inajikokota tu.
Njoo Simba unywe maji ya uzima na hutoona kiu tena! Nchi ya maziwa na asali, ondoka Misri njoo kaanani ww, nchi ya AhadiHii timu hivi wako serious kweli hawa wap...uzi.
They are f****cking crazy hawa wachezaji and useless piece of trashes.
Nimekwazika kwa kweli kwa mambo haya wanayofanya wachezaji
Mtani unataka nife ama. Yani nogongwe kila upande, wee niache mie🤣🤣🤣Mtani kule kwetu si unashabikia liverpool 😁😁
Sawa mtaniMtani unataka nife ama. Yani nogongwe kila upande, wee niache mie🤣🤣🤣
Pole mtani, ila nimependa tu hapo mwishoni hivi umeandikaje vilePale kocha hatuna! Timu imepata kagoli kamoja tu, kwa timu ndogo kama Polisi badala ya kuongeza washambuliaji! Anamtoa kiungo mchezeshaji Niyonzima na kumuingiza kiungo mkabaji Zawadi Mauya!
Isitoshe hii ni mechi ya pili sasa, ukiondoa ile ya Meya City! wapinzani wanasawazisha dk za lala salama! Kama Kocha mwenye ujuzi unashindwa kugundua tatizo la timu yako liko wapi kuruhusu magoli dakika za majeruhi!
Kwa hali hii Ubingwa msimu huu tusahau! Na njia pekee ya kurudisha morali ya timu, ni kubadili tu benchi la ufundi. No way out.
Baki mwenyewe tu mtani, nadhani dunia nzima ni wewe tu mwenye upendo wa alifa na omegaSawa mtani
Hiyo itakua sheria yako na labda sio mfuatiliaji wa mpira. Mkisha kuwa wachezaji wa timu moja zaidi ya mmoja mmewatoka mabeki hata mpiagiane pasi elfu kumi hakuna Offside hapo.
Angalia goli la pili la Tp Mazembe utajifunza kitu hapo.
Kitu ambacho ni kigumu mno.Ili utoo awe na matumain ya ubingwa inabidi simba apoteze game tatu
Kwa mwenendo huu wa timu, tusahau tu kuhusu Ubingwa msimu huu! Kuna wakati tunatakiwa tu kusema ukweli.Pole mtani, ila nimependa tu hapo mwishoni hivi umeandikaje vile