Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Jeshi la polisi makao makuu limetoa taarifa ya kupinga taarifa za taharuki mitaani za watoto kutekwa ,kuuwawa na kunyofolewa viungo.

20240720_185832.jpg
 
Basi sawa...tukubali watoto hawatekwi...sasa watu wazima kama Kombo wa Tanga wao ruksa kutekwa?Tena na Polisi wa CCM na kumnyofoa kidole kimoja?CCM ni janga tu na akili zao wanazijua wao:
 
Hakuna sehemu yeyote ile kwenye Taarifa ya polisi kwa Umma ambapo imesema au imetamka "Kunyofolewa" "Kutekwa" ama "kunyofolewa viungo" kwa Watoto.

Hatahivyo, Taarifa hii imesema specifically kwamba taarifa hizo zinazosambazwa kwa nia ovu zinasema "Watoto wa shule fulani wamechinjwa"

Haya mengine yanatoka wapi kama sio kuendeleza taarifa za taharuki hizi kwa Wananchi?

Taarifa hii ilipaswa iwasilishwe kama ilivyo na sio kuongozewa chumvi kama inavyoonekana huko juu.
 
Back
Top Bottom