Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

Jana karibia mitandao yote wametuma meseji ya watu kutekwa ,kuuawa na kunyofolewa figo ,ina maana jeshi la polisi hawajui hiyo issue? Je mitandao wametoa wapi hiyo taarifa na kuwatumia wananchi?
 
hivi unawezaje kutoa kauli dhidi ya kile alichosema Rais wako.
Hayo ni matokeo ya uchawa,utendaji wa kichawa ni wa hofu hofu,haswa pale unapokuwa na boss ambaye hasemi semi sana,unakuta surbonate wanafanya kazi kwa kudhani boss atafurahi bila ya kutoa ushauri stahiki au kufuata Sheria,Kanuni zinasema je,"utakuta police abduction wakisema sio wao wakibanwa na ikabainika dhahiri ni wao wanasema hiyyo ni arrest,Sasa unajiuliza suala la pili hakuna mtu yoyote anaweza zuia arrest halali yoyote,kwa yoyote,popote ,wowote kwasababu ipo kisheria.na zifanyike kwa kufuata Sheria.
 

Attachments

  • VID-20240723-WA0032.mp4
    20.1 MB
  • Screenshot_2024-07-20-14-00-47-1.png
    Screenshot_2024-07-20-14-00-47-1.png
    552.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom