Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

Yaap upo sahihi sana mkuu wangu
 
hawajui. form foo failure😂😭
 
nimepitia coments zote za wadau,zimenifurahisha.
 
Nadhani matamko yaliootoka awali kwamba kutakuwa na ugeni na barabara kadhaa zitafungwa na mengineyo ulikuwa uungwana pia tuwapongeze kwa statement hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…