Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
- Thread starter
- #21
Basi ni hatari sana mkuuWana akili kiduchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni hatari sana mkuuWana akili kiduchu
Yaap upo sahihi sana mkuu wanguPolice sio army
Polisi hufuata taratibu za kila siku za kiraia,kuhakikisha wananchi wanayii Sheria,kuzuia utekelezwaji wa makosa,kuchunguza jinai mbalimbali na kulinda wananchi na jamii iliyopo ndani ya nchi.
Army kazi yake kubwa ni kulinda taifa,nchi dhidi ya matishio ya nje na ndani pale inapolazimika.
Ndio maana hata mafunzo,silaha,utendaji ni tofauti.
hawajui. form foo failure😂😭Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa.
Juzi pia kulikuwa na mkutano wa viongozi wa Africa kuhusiana na suala la nishati, shule pamoja na baadhi ya barabara zilifungwa, ila baada ya viongozi hao kuondoka, Polisi nao kimyaaaaa kama kawaida yao.
Polisi hawajatoa statement yoyote ya kuwaomba msamaha watanzania kutokana na usumbufu wowote uliojitokeza.
Polisi wa Tanzania hawajui namna ya kufanya Upolisi wa kisasa?? (Modern Policing)??
Sad indeedInashangaza sana
Naomba radhi kwa niaba yaoNjoo huku MENEMENE TEKERI NA PERESI
Okay 👍 poa..Naomba radhi kwa niaba yao
Yes. Simao kama SimaoSimao
How are you doing Man?Yes. Simao kama Simao
I'm doing great manHow are you doing Man?
Polisi wa Tanzania hawajui policing, period.
Daaah, inasikitisha sana mkuu. Hakika safari bado ni ndefuPolisi wa Tanzania hawajui policing, period.
Msiwapaze kuuliza mambo ya modern policing
Community Policing ni kipengele kimoja wapo ndani ya Upolisi wa kisasa (Modern Policing)..Community policing