Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

Sio kazi yao, muda ukifika wenye jukumu la kuomba radhi watafanya hivyo
 
Mimi kama mhitimu wa chuo Cha polisi(CCP) miaka 30 iliyopita nakumbuka mwalimu alituambia raia hatakiwi kuombwa msamaha hata kama umemkosea na ikiwezekana unamwongezea adhabu Kali ili kuleta maana ya neno jeshi.
 
Ulimbukeni..
 
Duh!... hii kali
 
Mkuu, please futa hii statement kwa maana watakuja kuanzisha debate nyingine hapa hatari. Polisi hawapendi kuonekana kuwa sio Jeshi..
Moja ya sentensi ambayo unipa ukakasi kuisikia/kuitamka/kuisoma ni
JESHI LA POLISI, kwa maana naona kama ni vitu viwili tofauti. Pengine mwenye ufahamu anipe elimu katika hili
 
Police service is a civilian institution with paramilitary elements/trainings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…