Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
- Thread starter
- #41
Duuuuh, robots tena??..Achana na hayo maroboti mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuh, robots tena??..Achana na hayo maroboti mkuu.
Colonial mentality in 21st Century..Polisi wanatoa maelekezo jukumu lako kutii
Acha unaaPolisi wanatoa maelekezo jukumu lako kutii
DoohAcha unaa
Unprofessional behavior. Nendeni Ulaya mkajifunze ustaarabu mzuri..Usitupangie
Narudia tenaa, kijana usitupangie.Unprofessional behavior. Nendeni Ulaya mkajifunze ustaarabu mzuri..
Sio kazi yao, muda ukifika wenye jukumu la kuomba radhi watafanya hivyoEti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa.
Juzi pia kulikuwa na mkutano wa viongozi wa Africa kuhusiana na suala la nishati, shule pamoja na baadhi ya barabara zilifungwa, ila baada ya viongozi hao kuondoka, Polisi nao kimyaaaaa kama kawaida yao.
Polisi hawajatoa statement yoyote ya kuwaomba msamaha watanzania kutokana na usumbufu wowote uliojitokeza.
Ina maana Polisi wa Tanzania hawajui namna ya kufanya Upolisi wa kisasa?? (Modern Policing) au mimi ndio mshamba??
Ulimbukeni..Mimi kama mhitimu wa chuo Cha polisi(CCP) miaka 30 iliyopita nakumbuka mwalimu alituambia raia hatakiwi kuombwa msamaha hata kama umemkosea na ikiwezekana unamwongezea adhabu Kali ili kuleta maana ya neno jeshi.
Jeshi la hovyo lenye mentality za ulimbukeni wa madarakaSio kazi yao, muda ukifika wenye jukumu la kuomba radhi watafanya hivyo
Ndiyo uzuri Sasa.Ulimbukeni..
Just keep doing it, and you'll always be stuck there..Ndiyo uzuri Sasa.
Duh!... hii kaliMimi kama mhitimu wa chuo Cha polisi(CCP) miaka 30 iliyopita nakumbuka mwalimu alituambia raia hatakiwi kuombwa msamaha hata kama umemkosea na ikiwezekana unamwongezea adhabu Kali ili kuleta maana ya neno jeshi.
Mnasumbuliwa na ulimbukeni nyie Jeshi la kizamaniNarudia tenaa, kijana usitupangie.
Moja ya sentensi ambayo unipa ukakasi kuisikia/kuitamka/kuisoma niMkuu, please futa hii statement kwa maana watakuja kuanzisha debate nyingine hapa hatari. Polisi hawapendi kuonekana kuwa sio Jeshi..
Police service is a civilian institution with paramilitary elements/trainings.Moja ya sentensi ambayo unipa ukakasi kuisikia/kuitamka/kuisoma ni
JESHI LA POLISI, kwa maana naona kama ni vitu viwili tofauti. Pengine mwenye ufahamu anipe elimu katika hili
Do having such minor paramilitary elements make them Army?Police service is a civilian institution with paramilitary elements/trainings.
Nope that's why they are called "Paramilitary" and not "Full Military"Do having such minor paramilitary elements make them Army?