GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi.
Nipashe
Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua hana 'Mahawara' halafu hajui pia 'Kutongoza' na ana Uwendawazimu sana.
Nipashe
Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua hana 'Mahawara' halafu hajui pia 'Kutongoza' na ana Uwendawazimu sana.