GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
inasikitisha sanaa niliiona hiyo Picha
Hahahahh solution yako inaukakasiMwanaume yoyote mwenye 'Mahawara' wengi na wenye 'Uzuri' unaotofautiana wala hawana 'Wivu' ila wasiokuwa nao ndiyo wana 'Upumbavu' huu.
Mkuu tukio hilo ni lakulaani na kumuomnba Mungu akupe mwisho mwema. Lakini usithubutu kumuhukumu/ kumtukana wala kumdarau jamaa mana mambo ya kumdhuru mtu ni kidogo sana. Wanawake wana maudhi mengi na ukizingatia alikuwa mfanya kazi na walikuwa wakiishi mbali mbali. Ko sema machache mkuu.
rightMkuu tukio hilo ni lakulaani na kumuomnba Mungu akupe mwisho mwema. Lakini usithubutu kumuhukumu/ kumtukana wala kumdarau jamaa mana mambo ya kumdhuru mtu ni kidogo sana. Wanawake wana maudhi mengi na ukizingatia alikuwa mfanya kazi na walikuwa wakiishi mbali mbali. Ko sema machache mkuu.
Domo tenga domo zege
Mkuu, sisi tunasave tu, siku ukija na ki uzi Cha kulia Lia humu kuhusu mapenzi tutakukumbusha tu.Kwenda zako huko nyie ndiyo wale wale. Hivi nimuonee 'Wivu' Mwanamke wangu je, nilimkuta 'Bikra' nilipompata? Acheni 'Upuuzi' wenu huu sawa?
Hahahahh solution yako inaukakasi
Vimada we unao wangap ??
Mkuu, sisi tunasave tu, siku ukija na ki uzi Cha kulia Lia humu kuhusu mapenzi tutakukumbusha tu.
Kuliko kuwa na Ke moja bora usiwe nayo kabisa.
Ukiwa na moja halafu ukamwaga hisia zote siku ikikuzingua ndo mtu anafanya ungese Kama huu.
Mwanaume kuwa na K nne walau utaishi kwa utulivu.
Huwa nachukua tahadhari sana kutoa maoni linapokujabsuala la mapenzi
Basi na jamaa alipogundua kuwa hawezi kushindana na pa kutokea kwa nguvu za kawaida akaamua kutumia silaha.(simtetei lakini)Nimeshalizwa mno na hakuna Mwanaume aliyekuwa na 'Wivu' kama Mimi ila nilipoambiwa tu kuwa huwezi Kushindana na ulipotokea nikajiongeza.
Mke mmoja ni chanzo cha matatizo ya moyo, BP, PD n.kNawapenda sana Wanaume kama Wewe ambao hamuwezi kuwa na Mke Mmoja tu kama hawa 'Wapuuzi' hadi 'Wivu' wao unawatuma Kujeruhi tu.
Asante mkuu, ngoja nikwendeKwenda huko na Wewe ndiyo wale wale Wanaume 'Dhaifu' na 'Wazembe' ambao mkipenda mnakuwa na 'Wivu' na 'Mkisalitiwa' nao tu Mnawauwa.