Hiki kiwanja mbona kiko fresh kabisa mkuu utalinganisha na kile kilicho jaa nyasi za magoti afu kili-full maji lakini simba tulitoka na ushindi mnono plus vionjo vilikua na flavour tamanishiHivi viwanja (pitch) na miili ya wachezaji bado haijachangamka vizuri, next game utaiona biriani.
Kwa hiyo leo unaungana na wanaodai kua kagere asepe kutokana na kiwango alichokionesha?Tupo mkuu.
Kuna wakati mchezaji kwenye pitch game huwa inamkataa hiyo ni kawaida kabisa kwenye soka.
Kagere anaelekea kutupishaKagere anatuliza kwanza mpira...huyu jamaa leo haya sasa wale waliokua wanamdiss mugalu kwa kumpa thamani kagere wako wapi now?
sio kweli,ni mechi 2 tu. Yanga ikishinda mechi zote inakuwa na point 76. Simba ikishinda mechi 2 inakuwa na pont 76. Ili Yanga ifikie GD ya Simba inabidi ifunge wastani wa goal 6 kila mechi.Kwa mujibu wa Suleiman Matola Simba ikishinda mechi tatu ukijumlisha na ya leo inatangaza ubingwa.
mechi ijayo asicheze. asubiri mechi ya YangaHivi huyu Tadeo asipopata kadi ya njano hajisikii vizuri kabisa?[emoji28]
Lwanga Ogopesha Wahuni...Hivi huyu Tadeo asipopata kadi ya njano hajisikii vizuri kabisa?[emoji28]
Aje awakande vzr Fingerprintmechi ijayo asicheze. asubiri mechi ya Yanga
Hii game ya leo tatizo ni match fitness tu.Hiki kiwanja mbona kiko fresh kabisa mkuu utalinganisha na kile kilicho jaa nyasi za magoti afu kili-full maji lakini simba tulitoka na ushindi mnono plus vionjo vilikua na flavour tamanishi
Mwamba anaupiga sana, sijui kwanini wanamuweka benchi ..Nyoni kwa kupiga Watu Kanzu hatari..Kila game lazima mtu apigwe
Kweli mkuumechi ijayo asicheze. asubiri mechi ya Yanga
Kwani Yanga wamebakiza mechi ngapi mkuu?sio kweli,ni mechi 2 tu. Yanga ikishinda mechi zote inakuwa na point 76. Simba ikishinda mechi 2 inakuwa na pont 76. Ili Yanga ifikie GD ya Simba inabidi ifunge wastani wa goal 6 kila mechi.
Kiufupi mechi ya Yanga inahitimisha mbio za ubingwa.
Kwani Yanga wamebakiza mechi ngapi mkuu?