Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

Hivi viwanja (pitch) na miili ya wachezaji bado haijachangamka vizuri, next game utaiona biriani.
Hiki kiwanja mbona kiko fresh kabisa mkuu utalinganisha na kile kilicho jaa nyasi za magoti afu kili-full maji lakini simba tulitoka na ushindi mnono plus vionjo vilikua na flavour tamanishi
 
Kwa mujibu wa Suleiman Matola Simba ikishinda mechi tatu ukijumlisha na ya leo inatangaza ubingwa.
 
Tupo mkuu.
Kuna wakati mchezaji kwenye pitch game huwa inamkataa hiyo ni kawaida kabisa kwenye soka.
Kwa hiyo leo unaungana na wanaodai kua kagere asepe kutokana na kiwango alichokionesha?
 
Kwa mujibu wa Suleiman Matola Simba ikishinda mechi tatu ukijumlisha na ya leo inatangaza ubingwa.
sio kweli,ni mechi 2 tu. Yanga ikishinda mechi zote inakuwa na point 76. Simba ikishinda mechi 2 inakuwa na pont 76. Ili Yanga ifikie GD ya Simba inabidi ifunge wastani wa goal 6 kila mechi.
Kiufupi mechi ya Yanga inahitimisha mbio za ubingwa.
 
Hiki kiwanja mbona kiko fresh kabisa mkuu utalinganisha na kile kilicho jaa nyasi za magoti afu kili-full maji lakini simba tulitoka na ushindi mnono plus vionjo vilikua na flavour tamanishi
Hii game ya leo tatizo ni match fitness tu.
 
sio kweli,ni mechi 2 tu. Yanga ikishinda mechi zote inakuwa na point 76. Simba ikishinda mechi 2 inakuwa na pont 76. Ili Yanga ifikie GD ya Simba inabidi ifunge wastani wa goal 6 kila mechi.
Kiufupi mechi ya Yanga inahitimisha mbio za ubingwa.
Kwani Yanga wamebakiza mechi ngapi mkuu?
 
Screenshot_20210619-193533_Chrome.jpg
Jisomee mkuu
 
Back
Top Bottom