Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

Dakika ya 81 moreison bado yuko bench hakuna dalili za simba kuongeza bao kwa tafsiri ya haraka kocha kalizika na kigoli kimoja....acha uishe nikaangalie series zangu tu
 
Alijua goli limeingia kustuka mpira uko nje
 
Wamuwekee kikwazo tu

Yani mshahara wake wamtoze VAT kubwa, ataacha mwenyewe na club tutakua tumekwepa lawama kua tumemtimua
yote hayo ya nini kama mkataba umeisha,ana maisha yake akatafute timu nyingine
 
Dakika ya 81 moreison bado yuko bench hakuna dalili za simba kuongeza bao kwa tafsiri ya haraka kocha kalizika na kigoli kimoja....acha uishe nikaangalie series zangu tu
Wacha pressure, sio kila timu tuigonge 4 kama utopolo, rilaxx subiri tarehe 3.
 
Dakika 3 zimeongezwa kumalizika kipindi cha pili na mechi kiujumla
 
Wacha pressure, sio kila timu tuigonge 4 kama utopolo, rilaxx subiri tarehe 3.
At least sasa soka lionekane, sasa unakuta mpira tunacheza kama yanga afu ndani tuna furushi la greatest intenational footballer.
 
Mpira umeisha ila refa kaishiwa chaji filimbi yake
 
90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo wa VPL

Kasim Shaban anaingiza ndefu kumtafuta Mdamu lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wameibuka na ushindi kwa bao moja kwa bila dhidi ya Polisi Tanzania na kuendelea kujikita kileleni mwa VPL huku harufu ya ubingwa kinukia

VPL, FT; Polisi Tanzania 0-1 Simba SC.

..... Ghazwat
 
At least sasa soka lionekane, sasa unakuta mpira tunacheza kama yanga afu ndani tuna furushi la greatest intenational footballer.
Hivi viwanja (pitch) na miili ya wachezaji bado haijachangamka vizuri, next game utaiona biriani.
 
Wachambuzi mandazi, vipindi vyao siku hizi hata sivisikilizi tena nilikuwa nahisi nasikiliza matahira, wao wanakwambia football is a contact game, lazima mgusane.

Ila kugusana kwenyewe wanakwambia wapinzani wa Simba lazima watumie nguvu, nikawa najiuliza sasa hiyo itakuwa football au wrestling? nikajua nasikiliza wajinga bora niwaachie wanaowaelewa.
Ni ujinga mtupu ndio maana Haji huwa anawaitaga takataka tu
 
Kagere anatuliza kwanza mpira...huyu jamaa leo haya sasa wale waliokua wanamdiss mugalu kwa kumpa thamani kagere wako wapi now?
Tupo mkuu.
Kuna wakati mchezaji kwenye pitch game huwa inamkataa hiyo ni kawaida kabisa kwenye soka.
 
Back
Top Bottom