Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

Hawa wasenge wanacheza faulo nahisi ni conspiracy ili kupata majeruhi ili ku reduce idadi ya magoli julai 3
 
45+2' Kuelekea kuwa mapumziko Uwanja wa CCM Kirumba

Yondan kwake Pato, anafika Wawa kwake Onyango

VPL, HT; Naaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa bao moja | Polisi Tanzania 0-1 Simba SC.
 
Si wanadanganywa na wachambuzi takataka eti ukicheza na Simba unatakiwa kuwapa tafu game kwa kuwagonga gonga sana wao ndio wanafuati huo ushauri wa kipuuzi.
Huu upuuzi sijui nani aliwaaminisha watu!! Na Refarii leo asiwe mzito kuwalima Kadi hawa Wapuuzi maana wamedhamiria kuja kucheza rafu za makusudi!!
 
Huu upuuzi sijui nani aliwaaminisha watu!! Na Refarii leo asiwe mzito kuwalima Kadi hawa Wapuuzi maana wamedhamiria kuja kucheza rafu za makusudi!!
Ni hawa wachambuzi takataka ndio chanzo cha yote haya alafu timu ndio zimeamini kuwa hiyo ndio njia pekee ya kuwazuia simba.
Wanakuja kwa lengo la kucheza rafu za ovyo tu kuumiza wachezaji kwa makusudi kabisa.
 
59' Ametoka Bwalya na ameingia Nyoni upande wa Simba SC
 
Back
Top Bottom