Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukosa match fitness, ingepata hata friendly matchesSimba haijaonesha kiwango kizuri kabisa leo labda second half kama itakua na changes
Walete katiiiiiiMiquissone Goooooooooaaal Goooooooaaal
Luis kama kawa kakiwashaSimba haijaonesha kiwango kizuri kabisa leo labda second half kama itakua na changes
akienda anapishana na kombe,tutachukua mwakaniHuyu Konde Boy anatufungi magoli ya kutuaga kabla ya kwenda Al Ahly mwakani
Simba 1 - 0 PolisiMangapi mangapi jamani?
Bado moja.27' Miquissone Goooooooooaaal Goooooooaaal
Luis Miquissone anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa Free Kick amabayo ilienda moja kwa moja
Polisi Tanzania 0-1 Simba SC