bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
Inahitajika tafsiri mpya ya ugaidi sasa........wamekagua wamekuta maneno ya uchochezi wa kidini........huu nao ni ugaidi ....anyway.....
waliwasiliana na uk ndio wakasema anatafutwa huko ( uk ) kwa ugaidi so kama intelligence a nchi alipotoka zinamsaka kwa ugaidi basi ndo gaidi???