Sahih kbsaHivi kwa nini matamasha ya mwamaposa huwa hayana ulinzinwa kutosha? Ashajua ana waumini wengi basi akiwa anaandaa matamasha yake awe na plan nzuri ya ulinzi wa ndani na njee
Kazi ya ulinzi ni ya polisi chini ya wizara ya mambo ya ndani. Hata siku Simba na Yanga zinacheza usije taka hizo timu zije na walinzi wa mashabikiHivi kwa nini matamasha ya mwamaposa huwa hayana ulinzinwa kutosha? Ashajua ana waumini wengi basi akiwa anaandaa matamasha yake awe na plan nzuri ya ulinzi wa ndani na njee
Anaepeleka maombi kwamba siku flan kuna tukio ulinzi uwepo ni nani km sio mwenye tukioKazi ya ulinzi ni ya polisi chini ya wizara ya mambo ya ndani. Hata siku Simba na Yanga zinacheza usije taka hizo timu zije na walinzi wa mashabiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wa wailes
Watoto wa keko machungwa,toroli,magurumbasi kitengo mawe
Watoto wa tmk Leo wanapata neema ya funga mwaka
Kufa kufaana asee kama nawaona vile
Unadhani hajapeleka maombi. Kibali amepewa na nani kwani, mpaka wanatoa kibali kufanya mkusanyiko wa maelfu usiku ujue washapanga suala la ulinzi. Huu ni uzembe wa polisi mtumishi asisingiziwe hata kama sijui anatapeli watuAnaepeleka maombi kwamba siku flan kuna tukio ulinzi uwepo ni nani km sio mwenye tukio