Dunia hii kama hujafa bado hujaumbika. Allah ndio anaejua kesho ya mtu na sio mtu mwenyeweTarehe 7 wamemkamata leo tarehe 12 ndio wanatoa taarifa.
CCM inajifia.
Subirini jumatatu mkajibu hayo mahakamani, mnatuandikia taarifa wananchi ya nini wakati mshaambiwa tarehe 15 mnatakiwa mahakamani mkaeleze kwanini hamumpi dhamana!?TAARIFA KWA UMMA
Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa.
Pia Soma: Geoffrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara adaiwa kutekwa na kushikiliwa kwa siri huku akipigwa sana
View attachment 3514654
TAARIFA KWA UMMA

Baada ya kelele nyingi, ndio wanatafuta story ya kusemaTarehe 7 wamemkamata leo tarehe 12 ndio wanatoa taarifa.
CCM inajifia.
TAARIFA KWA UMMA
Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa.
Ikumbukwe kabla ya Taarifa ya Jeshi la polisi, Kumekuwepo na taarifa mbalimbali zilizosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa Godfrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Tano, ametekwa na kushikiliwa kwa siri maeneo ya Kigamboni na kwamba amekuwa akitendewa vitendo visivyozingatia taratibu za kisheria na watu waliodai kuwa ni askari Polisi.