PostGE2025 Polisi: Tulimkamata Geofrey Mwambe Desemba 7,2025 kwa tuhuma za jinai

PostGE2025 Polisi: Tulimkamata Geofrey Mwambe Desemba 7,2025 kwa tuhuma za jinai

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama kuna chawa yeyote mwenye akili timamu aje atupe taarifa zaidi nini kinaendelea huko ndani, au wenyewe Kazi yao ni kupewa # za kupush hakuna kitu wanahoji au kujua........
 
TOKA MAKTABA

Mteja wangu amekamatwa kwa tuhuma za uchochezi, wakili wa waziri wa zamani asema

11 December 2025

Former Tanzanian minister under Samia Hassan regime, Arrested by Police, Lawyer Gives Statement​


View: https://m.youtube.com/watch?v=rnz2yuRfR9Q
Tunadai mteja wetu apate haki zake yaani afikishwe mahakamani au apewe dhamana ya polisi

Kwa siku kadhaa tumewasiliana na familia ya Geoffrey Mwambe na kuzunguka nao bila mafanikio
 
Toka tarehe 7 na leo tarehe 12. Na pengine ni baada ya mitandao kuwa active bila hivyo wangeamua wenyewe kusema/kutokusema.
 
Huu utaratibu wa kumkamata mtu kimya kimya bila kutoa taarifa hadi watu waanze kupaza sauti halafu baada ya siku 5 ndio mnakuja kusema uchunguzi bado unaendelea unaukuta katika nchi ambayo polisi ni chala la failures.

Buyobe ana siku ya 5 mmemshikilia napo kimya.
 
Huu upuuzi upo tu Tz. Unaamua kumkamata yeyote, halafu baada ya kumkamata ndiyo unaanza kufanya uchunguzi.

Nchi zenye wenye akili timamu, baada ya kupokea tuhuma, wanachunguza kwanza, ndiyo mtuhumiwa anaenda kukamatwa, na kisha kumfikisha mahakamani.
polisi hawana uhuru huo mkuu. Wanafanya kazi nje ya taaluma yao. Wanafanya kazi kwa maelekezo kutoka juu. Gen z wanapigania uhuru wa polisi, mahakama, jw, wanaccm, wabunge, mawaziri, tiss, nk nk. Askofu Bagonza aliwahi kusema kwamba "mahakama ziko jela" mahakama zimefungwa.
 
Mkuu wa nchi yeye anasema kuna watu walitaka kuangusha dola hiyo Oktoba 29.

Waziri mkuu anasema ni hujuma za kiuchumi. Na wanaoshutumiwa ni Wakenya. Kuwa wanaonea wivu Tanganyika.

Ridhiwani Kikwete yeye anakiri wazi kuwa ni wananchi kuchoshwa na tuhuma za ufisadi kwa viongozi wa CCM.

Waziri mkuu anatoa sababu nyingine. Kuwa kuna watu walipanga kuleta vita kama vya Burundi.

Huenda ndio hao.... Ngoja tusubiri
 
Utawala wa mama yao kila kitu shaghalabaghala tu kenge mmoja anaamua maisha ya wengine na fate yao
 
Back
Top Bottom