Ukimuacha panya akimbie,atakuongoza kwenye shimo lake,ukachero una taratibu zakeKavuka kupitia mpaka wa sirari wamemkamata mbele huko ya safari.
Japo kiuhalisia na taarifa yenyewe pia ni ya uongo.
Wewe maamuma pungian wahed..Nyinyi token hiyo tareh 9 muone kenge nyinyi
Hawajui hata kudanganyq😂😂😂😂Yaani aingizie mabomu Kwa kutumia gari na zaidi apite hapo kwenye mpaka ?! Palipo na ulinzi ??
Mmmh...
Tafuta kiongozi wako wa dini akuombee walau taka zipungue moyoni kwako, maana najua kuisha hazitoishaPolisi wenu waongo si wangekuwekea mkdn hilo bomu tuone km OG lilipuke 😹😹
Utakuta mwamba alikuwa anapita zake kuja hapa tarime mjini kuvinjari 🤣🤣Hawajui hata kudanganyq😂😂😂😂
Hilo ni kanisa katoliki tuh na fitina zao.Umejuaje labda sio Hamza mwingine ambaye ndugu yake au rafiki yake ameuwawa?!
Mnawmuamsha Trump na Rubio wenyewe, kweli wakati wenu umefika, mngekua mna akili mgekaa kimyaa kidogoWakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3502984
Na hao wakija watapewa na msaada kabisa kwa tulipofikia.Ngoja waje kumuokoa mtu wao..
View attachment 3502997
Dini ipi ile ya bakwata (wazee wa ubwabwa) iliyo chini ya ccm au y’a Mwamposa 😹😹Tafuta kiongozi wako wa dini akuombee walau taka zipungue moyoni kwako, maana najua kuisha hazitoisha
Mi nimesema kiongozi wako wa dini,we unauliza dini ipi,una shida sana kichwaniDini ipi ile ya bakwata iliyo chini ya ccm au Mwamposa 😹😹
Halafu mi sina taka ila wewe ndo unazo ambaye unashangilia wauaji. Hivi umezaa? Mchieeeww!! Aahh nilisahau kumbe ni kijeba mliwa makalio.
Sasa sikiza mchawi kalaba wa kuchaji, hii haishi mpk iishe..!!
Nikiona sehemu unazingua nna wewe labda uache ucenge.
We Genz gani fa.la keyboard warrior?Waambieni hiyo taarifa Gen Z tumeikataa
Yaani hii ni safi sana.Mnawmuamsha Trump na Rubio wenyewe, kweli wakati wenu umefika, mngekua mna akili mgekaa kimyaa kidogo
Yule mzee alikua amelala (Tump).
Sikio la kufa CCM
Naomba mke wako au mwanao auwawe na Polisi labda ndio utaekeewaKanisa katoliki ndiyo wajue kuwa *****.***** zao mwisho wake ndiyo huo.