Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Mungu atusaidie hii mbegu inayopandwa katka taifa hili isipate kustawi kbc
Dunia hii duara mkuu. Kesho usikute yanakufika weweYani watu watoke Nchi nzima, walikua wanapanga nini? Kama shughuli za chama zimepigwa marufuku na mahakama.
Police ifike mahala waelewe , kwa sasa wamevuka mstari mwekundu aiseeJeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na Kubaini na kuzuia uhalifu.
Katika kutekeleza jukumu la kubaini na Kuzuia uhalifu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani tarehe 16/08/2025 lilipata taarifa za uwepo wa watu katika Ukumbi wa Mwitongo huko Mailimoja Shule, Wilaya ya Kibaha wanapanga njama za kufanya uhalifu.
Mara baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi lilichukua hatua za kufika eneo hilo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 10 waliofahamika kwa majina kama ifuatavyo:-
1. Upendo Winni Msechu, Anayeishi KCMC, Moshi
2. Upendo Parsons Mwalushwa, Anayeishi Mbezi, Dar Es Salaam
3. Pendo Raphael Mwasomola, Anayeishi Nzovwe, Mbeya
4. Focus Laurent Kasaka, Anayeishi Kisesa, Mwanza
5. Furaha Noel Mbise, Anayeishi Ubungo, Dar Es Salaam
6. Mzambia Amon Kabuje, Anayeishi Kijenge, Arusha
7. Mkombozi Emmanuel Hatibu, Anayeishi, Maili moja, Kibaha
8. Samson William Rabani, Anayeishi, Tangini, Kibaha
9. Abdallah Adam Mazengo, Anayeishi Mwanama, Arusha
10. Harouna Shanang Zangina, Anayeishi Goba, Dar Es Salaam
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahoji kwa kina watuhumiwa hao na mara baada ya upelelezi hatua nyingine za kisheria zitafuata.
Imetolewa na:-
Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 3444502View attachment 3444503
Tuna mijitu mipumbavu sana hata haioni aibu.Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na Kubaini na kuzuia uhalifu.
Katika kutekeleza jukumu la kubaini na Kuzuia uhalifu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani tarehe 16/08/2025 lilipata taarifa za uwepo wa watu katika Ukumbi wa Mwitongo huko Mailimoja Shule, Wilaya ya Kibaha wanapanga njama za kufanya uhalifu.
Mara baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi lilichukua hatua za kufika eneo hilo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 10 waliofahamika kwa majina kama ifuatavyo:-
1. Upendo Winni Msechu, Anayeishi KCMC, Moshi
2. Upendo Parsons Mwalushwa, Anayeishi Mbezi, Dar Es Salaam
3. Pendo Raphael Mwasomola, Anayeishi Nzovwe, Mbeya
4. Focus Laurent Kasaka, Anayeishi Kisesa, Mwanza
5. Furaha Noel Mbise, Anayeishi Ubungo, Dar Es Salaam
6. Mzambia Amon Kabuje, Anayeishi Kijenge, Arusha
7. Mkombozi Emmanuel Hatibu, Anayeishi, Maili moja, Kibaha
8. Samson William Rabani, Anayeishi, Tangini, Kibaha
9. Abdallah Adam Mazengo, Anayeishi Mwanama, Arusha
10. Harouna Shanang Zangina, Anayeishi Goba, Dar Es Salaam
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahoji kwa kina watuhumiwa hao na mara baada ya upelelezi hatua nyingine za kisheria zitafuata.
Imetolewa na:-
Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 3444502View attachment 3444503
Jeshi la polisi linatumika na watawala wa ccm hakuna kitu nachukia kama polisi kukandamiza upinzani yan sipendi kabisaUhalifu gani huo? Da police wabongo ni hopeless kabisa
Policcm at work.Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na Kubaini na kuzuia uhalifu.
Katika kutekeleza jukumu la kubaini na Kuzuia uhalifu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani tarehe 16/08/2025 lilipata taarifa za uwepo wa watu katika Ukumbi wa Mwitongo huko Mailimoja Shule, Wilaya ya Kibaha wanapanga njama za kufanya uhalifu.
Mara baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi lilichukua hatua za kufika eneo hilo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 10 waliofahamika kwa majina kama ifuatavyo:-
1. Upendo Winni Msechu, Anayeishi KCMC, Moshi
2. Upendo Parsons Mwalushwa, Anayeishi Mbezi, Dar Es Salaam
3. Pendo Raphael Mwasomola, Anayeishi Nzovwe, Mbeya
4. Focus Laurent Kasaka, Anayeishi Kisesa, Mwanza
5. Furaha Noel Mbise, Anayeishi Ubungo, Dar Es Salaam
6. Mzambia Amon Kabuje, Anayeishi Kijenge, Arusha
7. Mkombozi Emmanuel Hatibu, Anayeishi, Maili moja, Kibaha
8. Samson William Rabani, Anayeishi, Tangini, Kibaha
9. Abdallah Adam Mazengo, Anayeishi Mwanama, Arusha
10. Harouna Shanang Zangina, Anayeishi Goba, Dar Es Salaam
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahoji kwa kina watuhumiwa hao na mara baada ya upelelezi hatua nyingine za kisheria zitafuata.
Imetolewa na:-
Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 3444502View attachment 3444503
Hahaha yaani shida sana.Usaili wa kupata kazi ya police, sifa ni kukimbia kama ngombe, urefu, na D mbili tu! Utategemea ni ni? Very stupid
Wahalifu walikusanyika mlimani city na kuchanga mabilion, mbona hamkuwakamata?Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na Kubaini na kuzuia uhalifu.
Katika kutekeleza jukumu la kubaini na Kuzuia uhalifu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani tarehe 16/08/2025 lilipata taarifa za uwepo wa watu katika Ukumbi wa Mwitongo huko Mailimoja Shule, Wilaya ya Kibaha wanapanga njama za kufanya uhalifu.
Mara baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi lilichukua hatua za kufika eneo hilo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 10 waliofahamika kwa majina kama ifuatavyo:-
1. Upendo Winni Msechu, Anayeishi KCMC, Moshi
2. Upendo Parsons Mwalushwa, Anayeishi Mbezi, Dar Es Salaam
3. Pendo Raphael Mwasomola, Anayeishi Nzovwe, Mbeya
4. Focus Laurent Kasaka, Anayeishi Kisesa, Mwanza
5. Furaha Noel Mbise, Anayeishi Ubungo, Dar Es Salaam
6. Mzambia Amon Kabuje, Anayeishi Kijenge, Arusha
7. Mkombozi Emmanuel Hatibu, Anayeishi, Maili moja, Kibaha
8. Samson William Rabani, Anayeishi, Tangini, Kibaha
9. Abdallah Adam Mazengo, Anayeishi Mwanama, Arusha
10. Harouna Shanang Zangina, Anayeishi Goba, Dar Es Salaam
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahoji kwa kina watuhumiwa hao na mara baada ya upelelezi hatua nyingine za kisheria zitafuata.
Imetolewa na:-
Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 3444502View attachment 3444503
ww jamaa sometimes its better to remain silent.Waunganishwe na Lissu kwenye kesi moja