GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mungu atusaidie hii mbegu inayopandwa katka taifa hili isipate kustawi kbc
 
Kama Mungu angekuwa anatusukiliza basi angelimrudisha Mwl.Nyerere aje tumwulize kwa nini aliruhusu mfumo wa vyama vingi jambo linalotugawa tu na kudharirisha watanzania.Leo kwa sababu ya vyama vya siasa kuna watanzania daraja A,B na C.

Nadhani kabla ya kuruhusu vyama vingi tulipaswa kujadiliana kwanza namna bora ya kuvitenga vyombo vya dola na siasa.

Leo Tanzania ni ngumu kujua jeshi letu la polisi au usalama wanamtii nani serikali au vyama vya siasa.Kama vinaitii serikali basi angalau tungeona usawa kwenye vyama na vyombo vya dola vingekuwa na jicho la kuwa observer tu bila kuwa sehemu ya siasa.
 
Police ifike mahala waelewe , kwa sasa wamevuka mstari mwekundu aisee
 
🤣🤣🤣.eti uhalifu.
Hata viwembe hawanaaa.
Polisi Kuna wakati mnajitafutia CHUKI wenyewe kutoka Kwa raia ndo maana mkifa watu tunacheka.
 
Ongezeni nyama kidogo polisi kibaha

Ova
 
Tuna mijitu mipumbavu sana hata haioni aibu.
 
Waunganishwe na Lissu kwenye kesi moja
 
Policcm at work.
 
Wahalifu walikusanyika mlimani city na kuchanga mabilion, mbona hamkuwakamata?
 
Kusumbua tu watu, hakuna cha Mipango ya Uhalifu wa nini..UONEVU tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…