Chaumwa sii wahalifu,chaubwabwa sii wahalifu,Manyasi kijani sii wahalifu,na washirika wenu wa mchongo,ila Wazalendo wa taifa hili kwenu ni wahalifu aibu yenu kwa kuliangamiza taifa hili.Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na Kubaini na kuzuia uhalifu.
Katika kutekeleza jukumu la kubaini na Kuzuia uhalifu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani tarehe 16/08/2025 lilipata taarifa za uwepo wa watu katika Ukumbi wa Mwitongo huko Mailimoja Shule, Wilaya ya Kibaha wanapanga njama za kufanya uhalifu.
Mara baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi lilichukua hatua za kufika eneo hilo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 10 waliofahamika kwa majina kama ifuatavyo:-
1. Upendo Winni Msechu, Anayeishi KCMC, Moshi
2. Upendo Parsons Mwalushwa, Anayeishi Mbezi, Dar Es Salaam
3. Pendo Raphael Mwasomola, Anayeishi Nzovwe, Mbeya
4. Focus Laurent Kasaka, Anayeishi Kisesa, Mwanza
5. Furaha Noel Mbise, Anayeishi Ubungo, Dar Es Salaam
6. Mzambia Amon Kabuje, Anayeishi Kijenge, Arusha
7. Mkombozi Emmanuel Hatibu, Anayeishi, Maili moja, Kibaha
8. Samson William Rabani, Anayeishi, Tangini, Kibaha
9. Abdallah Adam Mazengo, Anayeishi Mwanama, Arusha
10. Harouna Shanang Zangina, Anayeishi Goba, Dar Es Salaam
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahoji kwa kina watuhumiwa hao na mara baada ya upelelezi hatua nyingine za kisheria zitafuata.
Imetolewa na:-
Kamanda wa Polisi,
Mkoa wa Pwani.
View attachment 3444502View attachment 3444503
Mkuu Acha ubaguzi wa kimo.Hata hivyo hakuna mtu mfupi aina yako ana akili timamu.
Polisi hawajasema wamewakamata kwa tuhuma zipi.
ChademaPengine ni wana Ufufuo na Uzima wakiandaa ibada
IjKama Mungu angekuwa anatusukiliza basi angelimrudisha Mwl.Nyerere aje tumwulize kwa nini aliruhusu mfumo wa vyama vingi jambo linalotugawa tu na kudharirisha watanzania.Leo kwa sababu ya vyama vya siasa kuna watanzania daraja A,B na C.
Nadhani kabla ya kuruhusu vyama vingi tulipaswa kujadiliana kwanza namna bora ya kuvitenga vyombo vya dola na siasa.
Leo Tanzania ni ngumu kujua jeshi letu la polisi au usalama wanamtii nani serikali au vyama vya siasa.Kama vinaitii serikali basi angalau tungeona usawa kwenye vyama na vyombo vya dola vingekuwa na jicho la kuwa observer tu bila kuwa sehemu ya siasa.
elimu elimu elimu!!.Uhalifu gani huo? Da police wabongo ni hopeless kabisa
Qmmk!Yani watu watoke Nchi nzima, walikua wanapanga nini? Kama shughuli za chama zimepigwa marufuku na mahakama.
We ni mwehu au ni taahira? Hakika unaumwa we mpumbavu nenda katibiweUhalifu gani huo? Da police wabongo ni hopeless kabisa
Wataje weweLeteni mambo na ushahidi kamili acheni kuharibu majina ya watu,
Kuna watu chungu mzima wanafanya uhalifu wa wazi lakini wanadunda mtaani
Upelekewe ushahidi we ******?Leteni mambo na ushahidi kamili acheni kuharibu majina ya watu,
Kuna watu chungu mzima wanafanya uhalifu wa wazi lakini wanadunda mtaani