GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We
Watu wanapewa kesi tu Bongo daah waharifu kumi ukute hawana hata siraha yeyote ni vizuri mkatoa taarifa walichofanya na si kuwapa kesi ya jumla Uharifu..
We kibwengo ni nani mpk uelezwe uhalifu wao? Subiri sk wanapelekwa mahakamani watasomewa mashtaka
 
Mimi sijawahi kuichukulia tanzania kama nchi ya vyama vingi
Kuna uhusiano gani na uhalifu, au vyama vingi ni uhalifu. Nchi ipi unaijua ina vyama vingibwe kenge? Marekaji ina vyama viwili, Uingereza vivyo hivyo vingine havijawahi kutawala.
 
Wl
Upelekewe ushahidi we ******?
Mkuu,hii ni mitandao tu, sometimes tunaperuzi na Kwa kupoteza muda lakini ukikutana na post fulani ,unachangia.

Suala la kutofautiana mitazamo lipo,binadamu tumetofautiana IQ na EQ najisikia vibaya unapotukana,Mimi ni mwanaume,naitwa Baba,naitwa mume naomba basi Kwa namna yeyote reply zangu zikikukwaza jikaze,matusi hayana maana tuheshimiane,ipo siku tunaweza Kula ,kunywa,na kupiga stori pamoja.
Alamsiki
 
Umetumia hekima sana mkuu

Kudos! 🙌
 
Hili jeshi linatumika kisiasa sana! Sasa polisi wamejuaje kama hao walikuwa wanapanga uhalifu?

Watu wako kwenye vikao vya kawaida mnasema wanapanga uhalifu?! Kwa hisia tu?!

Huu ni uoga na hofu kwa huyo mama yenu...na baado!
 
We
We kibwengo ni nani mpk uelezwe uhalifu wao? Subiri sk wanapelekwa mahakamani watasomewa mashtaka
Sasa kwa nini wametueleza mazee watu mliokulia vijijini mnapenda kutukana hovyo ili nanyi muonekane ni watu hapo umejificha kwenye kitanda cha kamba unaita watu vibwengo..
 
Hawa watu ni wapumb.avu kweli. Mbona hawataji huo uhalifu uliokuwa unapangwa? Au wanadhani watanzania wote wana akili ndogo kama wao?
 
Yani watu watoke Nchi nzima, walikua wanapanga nini? Kama shughuli za chama zimepigwa marufuku na mahakama.


Na wewe kumbe ni miongoni mwa hao hao wasio na akili? Ni lini shughuli za chama zimepigwa marufuku? Zimepigwa marufulu na nani? Au hata uwezo wa kusikia tu huna?

Msajili wa vyama aluwazuia baraza la wadhamini na katibu mkuu kufanya shughuli za siasa.

Mahakama ilizuia chama kutumia mali za chama.

Kwenye hayo mawili, hakuna habari ya kuzuia shughuli za chama.

Inawezekana na wewe ni wale form 4 failure kama hao polisi, wanaoshindwa hata kutaja huo ihalifu uliokuwa unafanywa au kupangwa.!!
 
Jeshi la ajabu kabisa,watu wanaopanga uhalifu wanaweza wakakodi ukumbi na kuanzia kupanga uhalifu,hizo ndo zao akili za jeshi leti,any hicho kilikuwa ni kikao nani alikuwa mwenyekiti na katibu alikuwa nani
 
Niliwaambia ni muda muwe na military wing, political wing haiwezi kuwakomboa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…