Pre GE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kutokana na hali mbaya kabisa ya kiusalama iliyopo hapa nchini hivi sasa, kuna kila sababu ya ku-declare the State of Emergency.

Siyo siri, hali ni mbaya sana.
Uhakika wa kufa leo hii ni mkubwa zaidi kuliko matumaini ya uwezekano wa kuiona kesho.
 
Sitashangaa 'uchunguzi' ukadai aliuwawa kwa wivu wa mapenzi na hii ndipo Tz ilipofikia .
Hawa polisi wanamchunguza nani kwa mfano? bull shit
 
Nashauri michezo ya JUDO,KOMBAT,KARATE,KUNFUU na n.k inahusiana na ngumi ambapo ndani yake utakutana na misemo mbalimbali kama mawashigeli,kakatogeli,msubidachi na n.k ililudishwe kwa wingi mtaani iwe kama shule na Walimu wa hyo michezo waje mitaani na kufungua vituo vya mafunzo tena wawe wengi kama wasajili laini za simu ili kila moja awe fiti katika kujilinda na adui au maadui...Angalizo itumike kama Self defence not Attack kama miaka ya 1990 ilivokuwa.
 
Akipatikana aliemuua Mzee Kibao watapatika na vijana WA Kiluvya😔😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…