Polisi: Tunachunguza tukio la Juma Elisha kuchukuliwa na watu wasiojulikana

Polisi: Tunachunguza tukio la Juma Elisha kuchukuliwa na watu wasiojulikana

Naamini vyombo vya ulinzi na usalama havitafanya kosa la kuruhusu mioyo ya raia ivikatie tamaa na kuamua kujilinda wenyewe. Polisi
Watabadilika kabla ya critical point ya uvumilivu. Ila kama wamekududia uharibifu wataruhusu ifike beyond control zone ili malengo yao ya uharibifu yatimie.
Kuliamini jeshi la polisi la nchi hii ninsawa na kumuamini shetani,jeshi la polisi limechafuka ni chafu sana chini ya huyu IGP
 
Hawa watu bila shaka wamedhamiria kuwamaliza watu wote wanaopinga utawala wa huyu mama! Hili jambo ni la hatari sana iwapo wananchi wataamua kujitetea au kujibu mashambulizi.
Wananchi wakujitetea sio hawa kondoo wa kitanganyika sahau hiyo habari
 
Upumbavu mtupu kila siku kujificha kwenye kichaka cha "tunaendelea na uchunguzi"

Sativa, Kitima, Mzee Kibao, Chaula,Mdude ripoti cha uchunguzi ziko wapi.
 
Kuliamini jeshi la polisi la nchi hii ninsawa na kumuamini shetani,jeshi la polisi limechafuka ni chafu sana chini ya huyu IGP
Nikweli mkuu, jeshi la polisi na vyombo vya ulinzi vinastahili kubeba lawama zote hizo.
Maana ukiaminiwa kuwa mtuliza ghasia wa ukoo ambayo Baba au mama yako ndo chanzo cha tatizo hapo lazima utaenda taratibu na kwa tahadhari ya hali ya juu sana. Kwahyo kuna muda utaonekana hakuna unacho kifanya. Au unaweza kushindwa kufanya kitu kabsaa na ukoo ukasambaratika kabsaa.
 
Hii kauli "tunaomba wananchi wawe watulivu wakati tukio hili linachunguzwa". Watu wamekwishavumilia sana tena sana tu.
 
Hawa watu bila shaka wamedhamiria kuwamaliza watu wote wanaopinga utawala wa huyu mama! Hili jambo ni la hatari sana iwapo wananchi wataamua kujitetea au kujibu mashambulizi.
Wananchi wakujitetea sio hawa kondoo wa kitanganyika,
 
YAANI KUONGOZA NCHI INATAKIWA AKILI NA BUSARA SIO MATUMIZI YA NGUVU KUPITA KIASI.
Tena kuongoza NCHI katika ERA kizazi hiki cha GEN ZIII ambapo utandawazi umekuwa sana ,umeme umefika mpaka vijijini kwa asilimia 80% vijana wamesoma mpaka elimu ya msingi na sekondari bureee ,ELIMU na UELEWA umeongezeka sana,USHAMBA na UJINGA UNAPOTEAA MPAKA VIJIJINI.
TAARIFA ,habari mawasiliano ,internet,Tv radio..SIMU JANJA zimesambaa mpaka vijijini.
Watanzania asilimia kubwa wana SMART PHONE SIMU JANJA ..vijana karibu wote..AMBAO NDIO ASILIMIA KUBWA kwa idaddi na ndio wenye nguvu ya ushawishi,nguvu kazi,

VIJANA WANACHANGAMOTO NYINGI..
NA HAWA VIJANA NDIO HAWANA AJIRA ,WANA UMASIKINI...NA HUKU WANAONA matajiri na mafisadi wanavyokula NCHI YAO na wanahisi UMASIKINI WAO umesababishwa na Mafisadi na MAJIZI
..tabaka kati ya walionacho na wasikuwanacho ni kubwa na linazidi kuongezeka na hakuna jitihada za kulipunguza wala matumaini,na chuki kati ya masikini na mafisadi nii kubwa ,HASA VIJANA wanapokuwa HAWAONI MATUMAINI YOYOTE.

HATA WAZEE AMBAO hawajasoma shule wanaelimishwa kupitia information,taarifa ,mitandao,mawasiliano.habari..elimu INAYOSAMBAA KWA KASI. ..
NA HABARI MBAYA HUSAMBAA KWA KASI KULIKO HABARI NZURI(mambo kama haya maovu kabisa)
Pia vijana wanajifinza kutoka nchi jiani na duniani kote ...WANAWAONA HATA VIJANA qa nchi jirani GEN ZII walivyofanya wanaona,hata nchi nyingine zilipata uhuru kwa kuchochewa na nji jirani au nyingine duniani zilizojikomboa..UKiona mwenzako ananyolewa na zako tia maji.

.WANANCHI WA LEO ni tofauti na AWAMU ZILIZOPITA..
Mbinu za KIZAMANI Zilizotumika awamu zikizopita zikutumika sasa hivi haziwezi kuleta matokeo, kuwadanganya wananchi na kuwatisha tisha,kuteka na kuwaua zinazidi kuchochea chuki kati ya wananchi na viongozi wao....yani inazidi kupalia kaa la moto ..YANI INABOMOA ZAIDI BADALA YA KUJENGA

Kama ni moto ndio unachochea petroli....ILI TUSIFIKE HUKO KUBAYA.

HAWA wanaojiita watu wasiojulikana WAJITAHIDI ku handle wakosoaji kwa kutumia AKILI badala ya nguvu,matumizi ya nguvu kupita kiasi yanajenga chuki na kusababisha wananchi kukosa imani na vyombo vya ulinzi na utawala.

YANI KWA AKILI ZAO HAPO KWA KUTEKA NA KUUA WAKOSOAJI, NDIO WANAAMINI WAMEFANYA UZALENDO, NA KULINDA AMANI YA NCHI...yani kwa akili zao hapo ndio wamefanya kazi maalumu,ya kulinda AMANI na kuondoa hatari.
BILA KUJUA NDIO WANATENGENEZA HATARI KUBWA ZAIDI.
 
Hio taarifa ni kwa ujumla wake Ila ukienda kuripoti mtu wa nyumbani kwako amepotea Kuna maswali utaulizwa na polisi kituoni, je ni mgonjwa wa akili? Je ana tabia za kufanya matukio kama haya? Je man ugomvi? Mwisho utaambiwa nenda urudi baada ya massa kadhaa ndo kesi inaweza kufuatiliwa. Sasa mpka baada ya hayo masaa kutimia tayari mtu wao keshapelekwa ahera ama kusafirishwa kumbuka vyombo vyao havikaguliwi.
 
Back
Top Bottom