njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Nahisi atakua saboteurs toka tall man "NAHISI" sina hakika kabisaaa nahisi.Organized crime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi atakua saboteurs toka tall man "NAHISI" sina hakika kabisaaa nahisi.Organized crime
Alikamatwa ndani ya uwanja wa ndege na maafisa wa uhamiaji au mpakani kwenye ofisi ya uhamiaji? Mbona ndugu na jamaa zake hawakujua alipotelea wapi baada ya kutoka Dubai! Tukubali tu hilo la kusema ametekwa huenda ndilo limesababisha kujulikana alipo.
Kuna taarifa zinazotengenezwa na kusambazwa katika makundi sogozi yenye nia ya kudanganya ili kuleta taharuki kwa umma kumhusu Franco Kashaija Ruhinda kuwa haijulikani alipo toka alipowasili nchini akitokea Dubai.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa Franco Kashaija Ruhinda alikamatwa alipowasili nchini Novemba 3,2024 kwa tuhuma za kujihusisha na Uhalifu wa kupanga na bado anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi ili kukamilisha yaliyokuwa yamesalia katika uchunguzi ili hatua zingine za kisheria zifuate.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Dodoma, Tanzania.
Kinembe!!! 🤣🤣🤣🤣Kinembe huwezi changia lolote bila kuitaja Chadema. Bwege kweli wewe
Ukamataji wa Polisi wa Tanzania ni Utekaji, aweza pia kuchaniwa nguoWakati anakamatwa alipewa haki ya kujulisha Familia, Mwanasheria, Balozi, n.k ?
Kama hakupewa haki hizo basi Alitekwa.
Je, wewe hayakukeri?Haya mambo ya kukamata watu kabla uchunguzi haujakamilika yanamkera sana mama yetu Samia. Polisi badilikeni.