Polisi: Tunamshikilia Franco Ruhinda, hajatekwa

Alikamatwa ndani ya uwanja wa ndege na maafisa wa uhamiaji au mpakani kwenye ofisi ya uhamiaji? Mbona ndugu na jamaa zake hawakujua alipotelea wapi baada ya kutoka Dubai! Tukubali tu hilo la kusema ametekwa huenda ndilo limesababisha kujulikana alipo.
 
Haya mambo ya kukamata watu kabla uchunguzi haujakamilika yanamkera sana mama yetu Samia. Polisi badilikeni.
Je, wewe hayakukeri?
Ikiwa wewe hayakukeri mwachie anayekereka atayashughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…