Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Jeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao ulishakusanywa.
Soma Pia: Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza
Polisi wametoa taarifa hii baada ya kusambaa taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii zikitaka kufahamu kama ni kweli Leonard Josephat Magere, amekamatwa na Jeshi la Polisi.