Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hahaha yeye hajafanya uhaini?Jeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao ulishakusanywa.
Soma Pia: Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza
Polisi wametoa taarifa hii baada ya kusambaa taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii zikitaka kufahamu kama ni kweli Leonard Josephat Magere, amekamatwa na Jeshi la Polisi.
Mtanikumbuka 🙏Heri wangetoa zuio rasmi tu kwa wapinzani kutoka nje ikafahamika hivyo kuliko hiki kinachoendelea.
Jamaa wanapoteza muda na wanapoteza pesa zao pia.
Mbona Magu alinyooka tu kuwa mikutano ya kisiasa ni marufuku na maisha yakaendelea.
kuna mtu kawalazimisha?Heri wangetoa zuio rasmi tu kwa wapinzani kutoka nje ikafahamika hivyo kuliko hiki kinachoendelea.
Jamaa wanapoteza muda na wanapoteza pesa zao pia.
Mbona Magu alinyooka tu kuwa mikutano ya kisiasa ni marufuku na maisha yakaendelea.
Kesi za mchongoJeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao ulishakusanywa.
Soma Pia: Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza
Polisi wametoa taarifa hii baada ya kusambaa taarifa kwenye Mitandao ya Kijamii zikitaka kufahamu kama ni kweli Leonard Josephat Magere, amekamatwa na Jeshi la Polisi.
😁😁😁walinda usalama wetu duuuhhh hadi raha wanavyo respond kwenye inquiriesView attachment 3404744
Jeshi la Polisi limekiri kushikilia Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji wa CHADEMA, Leonard Magere akidaiwa kuwa na tuhuma za jinai.
Taarifa ya Msemaji wa Polisi iliyotolewa leo Julai 13, sema kuwa, Magere alikamatwa jana Julai 12 na bado anachunguzwa ili kukamilisha ushahidi.
Hata hivyo, taarifa ya CHADEMA iliyotolewa leo imesema ukamataji huo ni mwendelezo wa ukamatwa kwa viongozi wake waliojaribu kusafiri nje ya nchi, akiwemo kaimu katibu mkuu, Amani Golugwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia na kada wa chama hicho, Godbless Lema.
View attachment 3404745
Jeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao ulishakusanywa.