Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Mzungu akitapeli anakuwa shujaa, mwafrika anafanywa kituko kama hivi
 
Me namtazama kwa jicho la tatu. Jamaa ni akili kubwa na mpambanaji. Sema njia aliyotumia sasa.
 
Billgate anavyozitapeli nchi za kiafrika ni sawa
Mnaija kuwavesha watu kawa shetani, na waswahili tunashangilia.
 
Na wewe baada ya kusoma thread hii a/c yako imeongezeka sh. Ngapi?
Mko kama wadada vile wewe na wenzio dah nawapa pole sana hakika mtaendelea kua masikini maisha yenu yote kwa tabia hii ya kufurahia wenye pesa wakianguka. nawapa pole.
 
The only mistake this guy did was trying to scam Uncle Sum (the U.S government). They will eventually get you in the end.

The guy even managed to hack into U.S system and re-route President Trump's stimulus package into his account.
Binafsi i respect this guy so much, nimempigia saluti, ni mwanaume anatafuta pesa, get rich or die trying, sio kama wavulana wengine hapa plus mtoa mada wamekalisha matako yao hawana hata sumni wanamsuta mwanaume mwenzao aliyekua anatafuta pesa
 
Ah..ndg yng nimeona unazunguka zunguka saaaaaaana!
 
Mko kama wadada vile wewe na wenzio dah nawapa pole sana hakika mtaendelea kua masikini maisha yenu yote kwa tabia hii ya kufurahia wenye pesa wakianguka. nawapa pole.
Itakuchukua muda kuelewa tunachoongelea na wewe unachokisema, niombe tu niishie hapo maana unaelekea kunivunjia heshima.
 
Washangae hawa mafukara.
Tumeletewa Ukimwi na ARV's hakuna anayehoji
Tumeletewa Kansa hakuna anayehoji
Tumeletewa Kisukari na Presha, hakuna anaehoji

Umasikini wa fikra huu! Hebu waambie hao mambumbumbu wanitajie Tajiri mmoja tu mwenye Utajiri ulio wa halali
 
Kwa fikra hizi umasikini hautakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…