Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na kifusi.
Shida kubwa waliyokutana nayo ni ukosefu wa chakula na kwa vile vichache vinavyopatikana masokoni kuwa ni ghali kupita kiasi.
Shida ya chakula na kupaa kwa bei za bidhaa kumewalazimu askari wa Hamas kuingilia kati na kuamrisha kushushwa kwa bei hizo.Kwa mfano bei ya kilo ya tambi imewekewa kiwango isizidi shekeli 12.