Maisha plusMuhimu watu wamerudi na maisha yanaanza upya.
kwahiyo mfanyabiashara akipandisha bei anakula shaba au nanakwendra ndrani?Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na kifusi.
Shida kubwa waliyokutana nayo ni ukosefu wa chakula na kwa vile vichache vinavyopatikana masokoni kuwa ni ghali kupita kiasi.
Shida ya chakula na kupaa kwa bei za bidhaa kumewalazimu askari wa Hamas kuingilia kati na kuamrisha kushushwa kwa bei hizo.Kwa mfano bei ya kilo ya tambi imewekewa kiwango isizidi shekeli 12.
North Gazans Scrounge Animal Feed for Flour as Markets Empty
Shaba hawapigwi watu kiovyo ovyo.kwahiyo mfanyabiashara akipandisha bei anakula shaba au nanakwendra ndrani?
kwahiyo bei ya tambi inalindwa na polisi na inatakiwa isizidi shekeli 12 za Israel right ?๐
lakin mbona wanatumia shekel ya israel na sio dola au dinar ya jordan ndugu zao?Shaba hawapigwi watu kiovyo ovyo.
Gaza wana nidhamu sana na mambo yao.