Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Polisi wa Iran wafunga ofisi ya Turkish Airlines kufuatia wafanyakazi wake wa kike kukataa kuvaa hijabu

Haya uliyoandika mbona hayafanani na mada iliyopo ya Irani hijabu zao na wanawake wa kituruki

Nyinyi wagalatia mnashida sana kudanganywa mdanganywe na Wazungu chuki zenu mnawapelekea waislam

Mlivyo wajinga lile sanamu la bikira Maria mlioliweka kanisani mmelivisha hijabu alafu nyinyi hamtaki hijabu Kwa kudanganywa na Wazungu
waafrika ambao tupo civilized tunawachora wapumbafu wanavyohangaika kutetea mfumo upi wa kiutawala ni bora kati ya Mfumo wa waroma na Waarabu🤣🤣
 
mamlaka ya viwanja vya ndege Iran ndo inaathirika kaka Turkish Airlines wako sahihi
Kuna wakati Ethiopian Airlines waliajiri 100 Chinese air hostess
Sote tunafahamu ma air hostess wa Ethiopia wanavyokubalika na airlines nyinyi
What happened ni kwamba Ethiopian Airline Ina 5 routes to China daily, na it seems hiyo route is one of the profitable route so Ili ku maintain customer base Yao wakaamua kuajiri air hostess ambao wataendana na route Yao
Kibiashara sioni sababu Turkish Airlines staff kugomea kuvaa hijab kama takwa la kisheria nchini Iran kwa gharama ya kukosa biashara ya Iran

Ukiangalia Cost-Benefit unaona Wanakosa biashara kwa sababu za kijinga

Ila kwa upeo wangu sidhani kama wamekuwa wajinga kiasi hicho

Regards
 
Haya uliyoandika mbona hayafanani na mada iliyopo ya Irani hijabu zao na wanawake wa kituruki

Nyinyi wagalatia mnashida sana kudanganywa mdanganywe na Wazungu chuki zenu mnawapelekea waislam

Mlivyo wajinga lile sanamu la bikira Maria mlioliweka kanisani mmelivisha hijabu alafu nyinyi hamtaki hijabu Kwa kudanganywa na Wazungu
Hahaha kuna wazazi wana hasara aisee, waweza kuta na wew ni jinsia ya kiume
 
Nenda mkoa wowote Tanzania wenye waislamu wengi mikoa yote ya Pwani na Zanzibar waulize waislamu wanaume uzoefu wao au vijana wa kiislamu waliooa wangapu walikutana na hao wavaa hijabu bikira

Kwa nini tuandikie mate wakati wino upo

Hijabu kitu gani? Wengine wanavaa wana ukimwi madonda mwili mzima anavaa ninja hadi soksi miguuni na mikononi ukijichanganya ukaoa utashangaa mbele ya safari umeuziwa mbuzi kwenye gunia ukidhani mbuz8 kumbe sio mbuzi ni mbwa
Si ndio nakuambia si kila mvaa hijabu anavaa hijabu anafahamu mana yake, hijabu mana yake ni kujikinga na machafu.

Iran kuweka sheria ya hijabu sio kwamba hakuna wa Iran wachafu, lakini ni good step kuzia machafu.

Mimi natakia nini kuchunguza ya watu huko pwani, si ndio kila siku nasema hapa sio kila mwenye jina la kislamu ni muislamu, na si kila mvaa hijabu anajua mana ya hijabu.

Hio ya kuziwa mbuzi kwenye gunia haha safi sana, we unadhani kila mwanaume ni kichaa akaenda kuoa tu, bila kuchunguza backgrounds za sehemu anazo kwenda owa.

Mimi nilifundishwa na wazazi wangu wakati unaenda kuoa tazama vitu vinne alivyo tuusia Mtume Muhammad.

Dini yake, uzuri wake, mali yake na family yake, sa we uende kuoa sehemu family haijatulia, dini zero hata huwajui thamani ya mili yao, si ufala tu.
 
Hijabu ni vazi tu halina uhusiano na ubikira .Yasikutishe ohh nataka kuoa mwanamke anayejistiri na hijabu .Utakuja pata mshtuko wa mwaka na kupata pressure bure kukuta ana shimo kubwa wazi kama shimo la Jehanamu au la Ngorongoro crater alishabikiriwa siku nyingi na kushughulikiwa mara kwa mara na wanaume wengi tofauti tofauti wenye marungu ya kila saizi small,medium , large na largest

Vizuri mtu ajiandae kisaikolokia aseje oa kwa kigezo cha kuvaa nguo za kujistri anasitiri vingi na vibaya vikiwemo
Zamani nikikuwaga nawatamani, ila nilivowalamba watatu wanne nilikoma kabisa!
 
Nenda mkoa wowote Tanzania wenye waislamu wengi mikoa yote ya Pwani na Zanzibar waulize waislamu wanaume uzoefu wao au vijana wa kiislamu waliooa wangapu walikutana na hao wavaa hijabu bikira

Kwa nini tuandikie mate wakati wino upo

Hijabu kitu gani? Wengine wanavaa wana ukimwi madonda mwili mzima anavaa ninja hadi soksi miguuni na mikononi ukijichanganya ukaoa utashangaa mbele ya safari umeuziwa mbuzi kwenye gunia ukidhani mbuz8 kumbe sio mbuzi ni mbwa
hata ku klux klan wanavaa😄😄
 
Biashara za kimataifa hazitaki hayo

Je nchi za kiislamu wakiambiwa ndege zao lazima marubani na wahudumu wawe mashoga na kuvaa nguo za kishoga kwenye nchi zao sababu kwao wanaamini ushoga ni sahihi?

Kuna standards za kimataifa
Turkish airline ni ndege ya kimataifa

Wengi hawawezi panda Iran Airways sababu hawana imani nazo service nk Helicopter tu iliua Raisi wa nchi nani apande ndege ya kimataifa ya Iran Airways? Ambayo mfano kapanda myahudi au mmarekani raia mwema tu wajitoa mhanga waweza kujilipua angani au kulipua hiyo ndege ili waue huyo yahudi au mmarekani yuko ndani ya ndege

Una mawazo duni sana
Jamaa huna hoja kabisa yaani halafu kujenga hoja hujui
Ajali ya ndege haijawahi au hazijawahi kutokea marekani uingereza ufaransa nk
Mwaka jana sijui juzi si boeng walisitisha utengenezaji wa aina moja wapo y ndege wao kisa zinaanguka kama majani mtini
Linapokuja suala la ajali hua halina kinga makamo wa rais wa malawi alipanda iran air mkuu wa majeshi pale kenya alipanda iran air?
Kuhusiana na sheria za kimataiafa kwakua unapenda ushoga ndio unaona kila mtu awe shoga yaani umeona ndio mfano
Bakini na ushoga wenu wakitaka watakaa wavae hijabu hawajataka waondoke hakuna kulialia
 
ni kujisumbua tu kwa sababu ICAO huo utaratibu haiujui, hiyo misheria ya midini yenu kunasehemu haifanyi kazi kabisa😂
Pole kijana hapo iran huko kwengine kila sehemu na sheria zake
Au ushawahi kuja kuona kiongozi wa iran anakuja nchini kwako anakutafutia mume anakwambia uoelewe nae?
 
Jamaa huna hoja kabisa yaani halafu kujenga hoja hujui
Ajali ya ndege haijawahi au hazijawahi kutokea marekani uingereza ufaransa nk
Mwaka jana sijui juzi si boeng walisitisha utengenezaji wa aina moja wapo y ndege wao kisa zinaanguka kama majani mtini
Linapokuja suala la ajali hua halina kinga makamo wa rais wa malawi alipanda iran air mkuu wa majeshi pale kenya alipanda iran air?
Kuhusiana na sheria za kimataiafa kwakua unapenda ushoga ndio unaona kila mtu awe shoga yaani umeona ndio mfano
Bakini na ushoga wenu wakitaka watakaa wavae hijabu hawajataka waondoke hakuna kulialia
Mkumbushe accident ya ndege ya Ethopia Boeing 737–8 (MAX), au anajitoa fahamu.

Hawa hawaelewi, ndege haziruki kwa sababu ya technology, huwa zikienda salama na kurudi salama, cha kwanza kumshukuru Mungu sio America 😄
 
Biashara za kimataifa hazitaki hayo

Je nchi za kiislamu wakiambiwa ndege zao lazima marubani na wahudumu wawe mashoga na kuvaa nguo za kishoga kwenye nchi zao sababu kwao wanaamini ushoga ni sahihi?

Kuna standards za kimataifa
Turkish airline ni ndege ya kimataifa

Wengi hawawezi panda Iran Airways sababu hawana imani nazo service nk Helicopter tu iliua Raisi wa nchi nani apande ndege ya kimataifa ya Iran Airways? Ambayo mfano kapanda myahudi au mmarekani raia mwema tu wajitoa mhanga waweza kujilipua angani au kulipua hiyo ndege ili waue huyo yahudi au mmarekani yuko ndani ya ndege

Una mawazo duni sana
Tatizo unatetea kitu ambacho hukijui, cha kukusaidia tu wajue ICAO ni akinanani
 
Naona wagalatia na lgbtq+ wa jf wameumia kwel kwel
Iran anapiga hatua wao wako kupiga kelele, ile helicopter kaunguka wakanza kumsifia Israel ndio kaingusha.

Israel haoni Hudu Hudu ya Hezbullah inavyo muwacha uchi, akaone Helicopter kwenye mpaka wa Iran na Azerbaijan.

US Patriot missiles zime fail zikauwa watoto vilema kwenye Hospital pale Kyiv, waimba kwaya kimyaaa ingekuwa Iran wangeongea mwaka mzima 😄
 
Duh! Vyuma vimeumana. Shida waturuki wanajihisi Westerners zaidi kuliko Middle Easterners. Pamoja na kuwa chimbuko la himaya kuu ya kidini ya Ottoman hawajawahi kupenda utamaduni wa uvaaji wa mashariki ya kati. Ngoja tuone kipi chuma cha pua kati ya wawili hao.
Yeah!...Waturuki wanajiona wamagharibi Sana na Kuna hujiweka mbele Sana kama sauti ya ulimwengu wa kiislamu hata kujaribu kuingilia himaya za kiarabu mfano kule Syria walipopeleka majeshi, Libya n.k hili huwakera Sana Arab League.
 
Mkumbushe accident ya ndege ya Ethopia Boeing 737–8 (MAX), au anajitoa fahamu.

Hawa hawaelewi, ndege haziruki kwa sababu ya technology, huwa zikienda salama na kurudi salama, cha kwanza kumshukuru Mungu sio America 😄
Hao akili zao wameziazima kwa kina lgbtq unadhani wataweza kuwaza hilo mzeee
Yaani wanaona ishu kubwa ndege ya iran iloua watu sita
Ila kama hilo la ethiopia liliua watu sijui 200 au 300+ wanalifumbia macho walivyo vipofu
Wao wanajiona wakiweza kufanya kitu ndio uwezo wao kumbe hawajui kama uwezo wetu mdogo sana mbele za uwezo wa Mungu
 
Iran anapiga hatua wao wako kupiga kelele, ile helicopter kaunguka wakanza kumsifia Israel ndio kaingusha.

Israel haoni Hudu Hudu ya Hezbullah inavyo muwacha uchi, akaone Helicopter kwenye mpaka wa Iran na Azerbaijan.

US Patriot missiles zime fail zikauwa watoto vilema kwenye Hospital pale Kyiv, waimba kwaya kimyaaa ingekuwa Iran wangeongea mwaka mzima 😄
Hawajitambui
Ile ishu ya iran israhell angehusika angechakaa zamani sana
Inabidi hata ajali zinazotokea huku za wapinga israhell itakua mossad wawe wamehusika😀
Usrahell kwake tu panawaka moto hawezi pazuia
Ila ukute hata yule kaimu rais wa malawi israhell ilihusika
 
Back
Top Bottom