vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Naona msaada wa mchele wa plastic kutoka China umeshawachanganya mnajamba tu sa hivi.
Ni nini inakuwasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona msaada wa mchele wa plastic kutoka China umeshawachanganya mnajamba tu sa hivi.
Naona mchele wa plastic umewafanya kijambio kikae juu juu.Ni nini inakuwasha
Sasa watanzania nasi hata kulenga imekuwa shida.
Naona mchele wa plastic umewafanya kijambio kikae juu juu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Saa ngapi watafanya mazoezi ya kulenga shabaha Mkuu wakati wako busy kuwanyanyasa chadema na kuwabambikia kesi wasio na hatia?
In this day and age shabaha na vitu kama hivyo vimebaki kuwa prestige labda na kwenda kwenye mashindano na Olympics.. (yaani michezo tu) vita vya sasa vya drones, electronics na cold wars as well as vichaa ambao wapo tayari ku-apply Kamikaze technics shabaha is very rarely applicable...
Vita vya gaidi havishindwi kwa risasi ni ku unbrainwash the brainwashed.., one bullet towards gaidi mmoja ni kuzaliwa kwa wengine kumi..., hivi vita sio vya mabavu ni inteligensia zaidi na kuhakikisha baadhi ya watu sio marginalizedSizitaki mbichi, utakua unaishi kwenye sayari nyingine. Ikuingie kwamba adui wa leo ni tofauti sana kinyume na wale wa enzi zile, wa leo anaitwa gaidi aliyejihami, na ili kupigana naye lazima uwe na ujuzi wa ulengaji shabaha maana ni adui anayejificha ndani ya umati wa watu na kama vipi anajilipua humo humo.
Vita vya gaidi havishindwi kwa risasi ni ku unbrainwash the brainwashed.., one bullet towards gaidi mmoja ni kuzaliwa kwa wengine kumi..., hivi vita sio vya mabavu ni inteligensia zaidi na kuhakikisha baadhi ya watu sio marginalized
Muhimu sana kwenye issue hizi za kupewa nishani na ningeshauri waende kwenye mashindano zaidi kama olympics wajipatie nishani.., ila practically kwa dunia ya sasa yenye silaha zenye scopes za hali ya juu.., hata mdau mpiga manati akipewa kulenga bulls eye is a matter of squeezing the triggerIdara ya usalama huwa na vitengo tofauti humo ndani, ndivyo ilivyo kote, kwamba kuna vitengo vya intelijensia na pia kunavyo vya mapambano, wote hawawezi kufanya kazi ya intelijensia. Hayo mazombi yakivamia maeneo ya watu wengi kama Milimani City na kuanza kuua wasio waislamu, kuna kitengo maalum kinachoitwa kushughulika, na hiki kitengo kina wafuasi waliopitia mafunzo hayo ya ulengaji shabaha, vita vya Close Quarter Battle (CQB).
Hata kwa mataifa yaliyoendelea kama vile Marekani, kuna wakati intelijensia hushindwa na kushtukizwa, inabidi waitwe SWAT. Hao askari wenu wanashindwa shabaha na kujiliwaza kwamba sio muhimu kwenye enzi za leo, itakua uvivu tu hamna kingine.
Wewe hujui unacho semaMuhimu sana kwenye issue hizi za kupewa nishani na ningeshauri waende kwenye mashindano zaidi kama olympics wajipatie nishani.., ila practically kwa dunia ya sasa yenye silaha zenye scopes za hali ya juu.., hata mdau mpiga manati akipewa kulenga bulls eye is a matter of squeezing the trigger
hata drones tuko nazo kaka..mko na ngapi?In this day and age shabaha na vitu kama hivyo vimebaki kuwa prestige labda na kwenda kwenye mashindano na Olympics.. (yaani michezo tu) vita vya sasa vya drones, electronics na cold wars as well as vichaa ambao wapo tayari ku-apply Kamikaze technics shabaha is very rarely applicable...
Kama vile walivyomuua akwelina? Tzedi ni nchi ovyo sanaPolisi wa tz hawahitaji kulenga shabaha cha muhimu ni kunuia unataka impge nani then unaelekeza hewani itakata kona yenyewe na kwenda kuua uliyemnuia.
Muhimu sana kwenye issue hizi za kupewa nishani na ningeshauri waende kwenye mashindano zaidi kama olympics wajipatie nishani.., ila practically kwa dunia ya sasa yenye silaha zenye scopes za hali ya juu.., hata mdau mpiga manati akipewa kulenga bulls eye is a matter of squeezing the trigger