and what's your point ? kwamba hapo walenga shabaha wangebadilisha matukio ?, enzi zile watu na bayonets na kupigana vita mstari kwa mstari kwa kutumia SAR.., hawa watu walikuwa ni asset kubwa sana.., encounters za sasa hata ukiwa na ujuzi vipi ni vigumu kushinda.., utashinda vipi wakati hata kina mama unaowaona au watoto huenda nao ni maadui na wameshakuwa brainwashed ?..., utashinda vipi watu unaogombana nao wanaoperate in terms of cells na kila ukiua mmoja wengine nane wanakuja ?..,
Its more than guns you need to go within na ku-eradicate umasikini ili walio vurnelable kuwa brainwashed wasiwe hivyo...
Muulize America kwanini alishindwa Somalia...,au alisamu amri Vietnam....