Entrepreneurial
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 201
- 134
Kabla ya hapo hukuogopa nyoka??? Kwanini lakini??Wakenya wana shabaha sana. Kuna rafiki yangu mmoja baba ake ni Mkenya na mama ake pia, aliwahi kumlenga nyoka na jiwe! Tangu siku hiyo nilimuogopa sana.
Mbona walifanikiwa kumlenga Akwilina?Saa ngapi watafanya mazoezi ya kulenga shabaha Mkuu wakati wako busy kuwanyanyasa chadema na kuwabambikia kesi wasio na hatia?
and what's your point ? kwamba hapo walenga shabaha wangebadilisha matukio ?, enzi zile watu na bayonets na kupigana vita mstari kwa mstari kwa kutumia SAR.., hawa watu walikuwa ni asset kubwa sana.., encounters za sasa hata ukiwa na ujuzi vipi ni vigumu kushinda.., utashinda vipi wakati hata kina mama unaowaona au watoto huenda nao ni maadui na wameshakuwa brainwashed ?..., utashinda vipi watu unaogombana nao wanaoperate in terms of cells na kila ukiua mmoja wengine nane wanakuja ?..,Utakua unaishi kwenye movies sana mpaka uhalisia wa dunia kama ilivyo umekutoka.
Hii video hapa chini itakupa baadhi ya matukio ya hali halisi
Mbona walifanikiwa kumlenga Akwilina?
Uaskari sii wa kucheza mpira! Tunataka mambo ya Medani....mbona hutaki kuleta matokeo ya soka jinsi askari wetu walivyowachapa askari wenu mbele ya mashabiki wenu pale Kasarani, au unatka niweke video hapa🙂
Hakika. Maarifa na umakini ni muhimu sanaKwani Mkuu walikuwa wanamlenga Akwilina? Hapo ndiyo ujue jamaa kwenye shabaha ni ZERO.
shabaha ya kulenga midoli ndio ubingwa mnatunyima usingizi 😂 Hongereni BasiMbona hawajawah kusema tumeua alshabab japo mmoja kama kwel wanaweza kulenga
and what's your point ? kwamba hapo walenga shabaha wangebadilisha matukio ?, enzi zile watu na bayonets na kupigana vita mstari kwa mstari kwa kutumia SAR.., hawa watu walikuwa ni asset kubwa sana.., encounters za sasa hata ukiwa na ujuzi vipi ni vigumu kushinda.., utashinda vipi wakati hata kina mama unaowaona au watoto huenda nao ni maadui na wameshakuwa brainwashed ?..., utashinda vipi watu unaogombana nao wanaoperate in terms of cells na kila ukiua mmoja wengine nane wanakuja ?..,
Its more than guns you need to go within na ku-eradicate umasikini ili walio vurnelable kuwa brainwashed wasiwe hivyo...
Muulize America kwanini alishindwa Somalia...,au alisamu amri Vietnam....
Tazama WCB wanavyofanya kwa mtangazaji Wakenya TanashaWatanzania tunajua kulenga chini..watu hadi gizani hawakosei