joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii ndio kawaida katika utendaji kazi wa Polisi wa Kenya. Kenya polisi anaweza kumfanyia raia vile apendavyo na hakuna hatua zozote huchukuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kweli kabisa, Kenya sio nchi kabisaaHiyo sio nchi
Halafu wana katiba ya 1,000 pages
Nani kakwambia nchi zote tajiri polisi ni wastaarabu, kuna nchi hoa jamaa wangesha kuwa marehemu.Nchi masikini zote police huwa na kelele nyingi za kutisha wananchi
Hakuna sheria bali ubabe tu
Wanaweza kufanya wanavyotaka
Nani kakwambia nchi zote tajiri polisi ni wastaarabu, kuna nchi hoa jamaa wangesha kuwa marehemu.
Siwatetei hao jamaa, ila napinga hoja yako ya kudhani utajiri wa nchi ni kigezo cha polisi kufuata sheria.Mbona unatetea ujinga kwa nguvu zote
Kwanini sheria zilizopo zisitumike
Walioendelea utasimamishwa na kuambiwa kosa lako kama ni faini utalipa
Kote kunajulikana tofauti zao na wanaouwa pia hawana haki ya kufanya hivyo
Sikuandika kubishana bali ni ukweli tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Siwatetei hao jamaa, ila napinga hoja yako ya kudhani utajiri wa nchi ni kigezo cha polisi kufuata sheria.
NimekaaSawa, ila umasikini nao unaongeza sana uvunjaji wa sheria
Nimekaa miaka 35 [emoji636] sijawahi kusimamishwa nikiwa kwa miguu hata siku moja
Na kwa gari ni mara tatu tu tena unaombwa kwa heshima na kuulizwa unajua kosa lako?
Unaelezwa kosa kama ni fine utapewa
Ingawa mara moja nilikuwa speed jamaa baada ya kujitetea akanisamehe na ilikuwa perimeter road
Matatizo ya uonezi na police brutality yanajulikana sana
Ila naheshimu mawazo yako
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii ndio kawaida katika utendaji kazi wa Polisi wa Kenya. Kenya polisi anaweza kumfanyia raia vile apendavyo na hakuna hatua zozote huchukuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaa [emoji631] nusu ya maisha yangu, polisi hapa anaweza kukusimamisha bila sababu ya msingi na akatafuta njia kukulipisha fine ili akamilishe quotas. Sheria siyo sayansi kwamba Power = IV (popote pale duniani), mtu anaweza kutafsiri kosa, atakavyo jisikia na akawa sahihi kisheria.
Social profiling ipo sana, polisi anaweza msimamisha mtu yeyote barabarani (with a probable cause), na anatakiwa kutii amri hiyo kisheria. Tatizo hiyo probable cause inaweza kutengenezwa. Fine hulipi hapo hapo bali unapewa ticket kwenda mahakamani (aidha kulipa au kufungua kesi).Hivi kweli unaandika Haya eti anaweza kukusimamisha na akakutafutia njia ya kukulipisha fine what a lie hahaha
Camera siyo tatizo, polisi anaweza kusema tuu, "I stopped you because you fit the description..." na hiyo description inaweza kuwa "a black man with the red shirt" (ambayo wewe umevaa).Gari zote zina camera mbele kwenye kifua wana camera na Ina record hapo anakulipisha fine ya kubambikiza wamekuwa na makusanyo ya njaa na lazima ama
Sipo hapa kubishana.Kweli tunabishana kuhusu sehemu ambayo unasema umekaa nusu ya maisha yako halafu unaandika haya
Ngoja nisiendelee maana nilikuambia naheshimu mawazo yako I won’t argue with you again have a nice evening
Polisi hawa ndo wanasimamia curfew!
Social profiling ipo sana, polisi anaweza msimamisha mtu yeyote barabarani (with probable cause), na anatakiwa kutii amri hiyo kisheria. Tatizo hiyo probable cause inaweza kutengenezwa. Fine hulipi hapo hapo bali unapewa ticket kwenda mahakamani (aidha kulipa au kufungua kesi).
Camera siyo tatizo, polisi anaweza kusema tuu, "I stopped you because you fit the description..." na hiyo description inaweza kuwa "a black man with the red shirt" (ambayo wewe umevaa).
Sasa baada ya hapo, unatakiwa kumpa drivers license (kisheria) na ataichukua kui-run kuangalia kama una makosa. Hapo utaona hakukuwa na sababu ya msingi kukusimamisha, bali alikuwa anatafuta kosa kutoka kwako. Polisi wa US wana mamlaka makubwa sana kuliko wa UK.
Sipo hapa kubishana.
Hii ndio kawaida katika utendaji kazi wa Polisi wa Kenya. Kenya polisi anaweza kumfanyia raia vile apendavyo na hakuna hatua zozote huchukuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilitokea miaka 8 iliyopita, tumeshasahau hayo mambo siku nyingi sana, tunayaona kwenu tu.Japo kwa Watanzania kujifanya wanahoji mambo ya polisi Kenya, ni unafiki na ujinga maana mkizingua tutawaletea mapicha humu ya matukio ya kwenu hadi muukimbie huu uzi, hapa nawapa tu kama onja fulani hivi, picha hii ya polisi baada ya kumlipua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi akabaki manyama yamezagaa
![]()
![]()
MK254
JF-Expert Member
Acha kutetea ujinga na kuji komba komba,Japo kwa Watanzania kujifanya wanahoji mambo ya polisi Kenya, ni unafiki na ujinga maana mkizingua tutawaletea mapicha humu ya matukio ya kwenu hadi muukimbie huu uzi, hapa nawapa tu kama onja fulani hivi, picha hii ya polisi baada ya kumlipua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi akabaki manyama yamezagaa
![]()
![]()
MK254
JF-Expert Member
Hii ilitokea miaka 8 iliyopita, tumeshasahau hayo mambo siku nyingi sana, tunayaona kwenu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaanusu ya maisha yangu, polisi hapa anaweza kukusimamisha bila sababu ya msingi na akatafuta njia kukulipisha fine ili akamilishe quotas. Sheria siyo sayansi kwamba Power = IV (popote pale duniani), mtu anaweza kutafsiri kosa, atakavyo jisikia na akawa sahihi kisheria![]()