Polisi wa Kenya wakiwa katika majukumu yao ya kila siku

Polisi wa Kenya wakiwa katika majukumu yao ya kila siku

Nchi masikini zote police huwa na kelele nyingi za kutisha wananchi
Hakuna sheria bali ubabe tu
Wanaweza kufanya wanavyotaka
Nani kakwambia nchi zote tajiri polisi ni wastaarabu, kuna nchi hoa jamaa wangesha kuwa marehemu.
 
Nani kakwambia nchi zote tajiri polisi ni wastaarabu, kuna nchi hoa jamaa wangesha kuwa marehemu.

Mbona unatetea ujinga kwa nguvu zote
Kwanini sheria zilizopo zisitumike
Walioendelea utasimamishwa na kuambiwa kosa lako kama ni faini utalipa
Kote kunajulikana tofauti zao na wanaouwa pia hawana haki ya kufanya hivyo
Sikuandika kubishana bali ni ukweli tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Siwatetei hao jamaa, ila napinga hoja yako ya kudhani utajiri wa nchi ni kigezo cha polisi kufuata sheria.
 
Siwatetei hao jamaa, ila napinga hoja yako ya kudhani utajiri wa nchi ni kigezo cha polisi kufuata sheria.

Sawa, ila umasikini nao unaongeza sana uvunjaji wa sheria
Nimekaa miaka 35 [emoji636] sijawahi kusimamishwa nikiwa kwa miguu hata siku moja
Na kwa gari ni mara tatu tu tena unaombwa kwa heshima na kuulizwa unajua kosa lako?
Unaelezwa kosa kama ni fine utapewa
Ingawa mara moja nilikuwa speed jamaa baada ya kujitetea akanisamehe na ilikuwa perimeter road
Matatizo ya uonezi na police brutality yanajulikana sana
Ila naheshimu mawazo yako

Nimekaa
emoji631.png
nusu ya maisha yangu, polisi hapa anaweza kukusimamisha bila sababu ya msingi na akatafuta njia kukulipisha fine ili akamilishe quotas. Sheria siyo sayansi kwamba Power = IV (popote pale duniani), mtu anaweza kutafsiri kosa, atakavyo jisikia na akawa sahihi kisheria
 
Nimekaa [emoji631] nusu ya maisha yangu, polisi hapa anaweza kukusimamisha bila sababu ya msingi na akatafuta njia kukulipisha fine ili akamilishe quotas. Sheria siyo sayansi kwamba Power = IV (popote pale duniani), mtu anaweza kutafsiri kosa, atakavyo jisikia na akawa sahihi kisheria.

Sawa
Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hivi kweli unaandika Haya eti anaweza kukusimamisha na akakutafutia njia ya kukulipisha fine what a lie hahaha
Social profiling ipo sana, polisi anaweza msimamisha mtu yeyote barabarani (with a probable cause), na anatakiwa kutii amri hiyo kisheria. Tatizo hiyo probable cause inaweza kutengenezwa. Fine hulipi hapo hapo bali unapewa ticket kwenda mahakamani (aidha kulipa au kufungua kesi).
Gari zote zina camera mbele kwenye kifua wana camera na Ina record hapo anakulipisha fine ya kubambikiza wamekuwa na makusanyo ya njaa na lazima ama
Camera siyo tatizo, polisi anaweza kusema tuu, "I stopped you because you fit the description..." na hiyo description inaweza kuwa "a black man with the red shirt" (ambayo wewe umevaa).

Sasa baada ya hapo, unatakiwa kumpa drivers license (kisheria) na ataichukua kui-run kuangalia kama una makosa. Hapo utaona hakukuwa na sababu ya msingi kukusimamisha, bali alikuwa anatafuta kosa kutoka kwako. Polisi wa US wana mamlaka makubwa sana kuliko wa UK.
Kweli tunabishana kuhusu sehemu ambayo unasema umekaa nusu ya maisha yako halafu unaandika haya
Ngoja nisiendelee maana nilikuambia naheshimu mawazo yako I won’t argue with you again have a nice evening
Sipo hapa kubishana.
 
Social profiling ipo sana, polisi anaweza msimamisha mtu yeyote barabarani (with probable cause), na anatakiwa kutii amri hiyo kisheria. Tatizo hiyo probable cause inaweza kutengenezwa. Fine hulipi hapo hapo bali unapewa ticket kwenda mahakamani (aidha kulipa au kufungua kesi).

Camera siyo tatizo, polisi anaweza kusema tuu, "I stopped you because you fit the description..." na hiyo description inaweza kuwa "a black man with the red shirt" (ambayo wewe umevaa).

Sasa baada ya hapo, unatakiwa kumpa drivers license (kisheria) na ataichukua kui-run kuangalia kama una makosa. Hapo utaona hakukuwa na sababu ya msingi kukusimamisha, bali alikuwa anatafuta kosa kutoka kwako. Polisi wa US wana mamlaka makubwa sana kuliko wa UK.

Sipo hapa kubishana.

Huku ni tofauti sana na huko kwa Kweli maana sisi Leo tunapanga Q ya chakula nyie mnanunua bunduki
Kweli hata maisha ni tofauti kabisa naona tuna afadhali sana huku na hayo ya huko tunayasikia tu ila nyie ndio mnayajua zaidi
Tunaishi maisha tofauti kwa Kweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hii ndio kawaida katika utendaji kazi wa Polisi wa Kenya. Kenya polisi anaweza kumfanyia raia vile apendavyo na hakuna hatua zozote huchukuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Japo kwa Watanzania kujifanya wanahoji mambo ya polisi Kenya, ni unafiki na ujinga maana mkizingua tutawaletea mapicha humu ya matukio ya kwenu hadi muukimbie huu uzi, hapa nawapa tu kama onja fulani hivi, picha hii ya polisi baada ya kumlipua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi akabaki manyama yamezagaa

majeruhi-polisi-na-marehemu.jpg

Nyololo%252520masacre%2525206_thumb%25255B11%25255D.jpg

MK254
JF-Expert Member
 
Hii ilitokea miaka 8 iliyopita, tumeshasahau hayo mambo siku nyingi sana, tunayaona kwenu tu.

Acha kutetea ujinga na kuji komba komba,
Haya mambo hutokea kenya kila mara.
 
Hii ilitokea miaka 8 iliyopita, tumeshasahau hayo mambo siku nyingi sana, tunayaona kwenu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Japo kwa Watanzania kujifanya wanahoji mambo ya polisi Kenya, ni unafiki na ujinga maana mkizingua tutawaletea mapicha humu ya matukio ya kwenu hadi muukimbie huu uzi, hapa nawapa tu kama onja fulani hivi, picha hii ya polisi baada ya kumlipua mwandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi akabaki manyama yamezagaa

majeruhi-polisi-na-marehemu.jpg

Nyololo%252520masacre%2525206_thumb%25255B11%25255D.jpg

MK254
JF-Expert Member
 
Nimekaa
emoji631.png
nusu ya maisha yangu, polisi hapa anaweza kukusimamisha bila sababu ya msingi na akatafuta njia kukulipisha fine ili akamilishe quotas. Sheria siyo sayansi kwamba Power = IV (popote pale duniani), mtu anaweza kutafsiri kosa, atakavyo jisikia na akawa sahihi kisheria

Uko sahihi sana. Jamaa unaye ongea nae, tayari kushajiaminisha kuwa swala la Police brutality ni la nchi maskini.

Sasa pale his long held beliefs zikiwaproved kuws false anakua na ilekitu inaotwa "belief shocks".

Police brutality haina nchi maskini wala tajiri. Mara zote hutokea due to chuki binafsi na kama unyama wataofanya wanaweza get away with it, then inakua tabia kama ilivyo Kenya, Uganda.

Mozambique, South Africa kama ni foreigner wanauonevu sana wa kukupora ulichonacho.

Angola kama ni foreigner unaweza chezea kipigo kitakatifu sana.

Zambia nao afisa w uhamiaji wanatabia ya kotokugongea kama ujaweka hela kwenye passport kama unatoka Tanzania kwenda kwao, pia Police wao ni waonevu mno kw foreigners, hasa ukiwa unatoka border kwenda Lusaka. Mtasimamishwa zaidi ya mara sita, Police wakiingia ndani ya gari na kutoa Wageni wakitaka hela.

Nnchi ambayo huwezi pata matatizo ya Kijinga na Police ni Malawi, labda uvunje sheria. Ila si wasumbufu kabisa, na wastaarabu sana.

Namibia Police wao ukiingia kwenye 18 zao nao wanatoa vibao vya hapa na pale.

USA police weupe ni waonevu sana kwa watu wa rangi tofauti. Kwenye njia nyingi za panya, California, Arizona, Texas toka Mexico wanaua sana watu. Na mara nyingi kuvuka kinyemela ni vyema kutibeba kitu na si kupita usiku, wanaua watu kama panya hizo area.

Nifanya soo usiku wa manane huko Kowloon, Hong Kong na nilikua bwii lakini Police hawaku nifanya chochote na mitungi nilienda tena kwa mguu mpaka Kituoni kwao tena na kuwasemea mbovu but waliniignore tu. Ingekua pande kama SA, Kenya, Mozambique, Angola, USA, Uganda wangesha nitoa meno kitambo sana.
 
Back
Top Bottom