figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam,
Nimefarijika sana.. Maandamano ya leo yalijaa wana wa Jeshi. Sio Polisi wote wabaya.
Wanne wametoka Kigamboni, Askari Magereza Wawili wametoka Mbezi beach, Wanajeshi Watatu wametoka Goba. Tumekinukisha balaa.
Leo baada ya night shift, tutahakikisha tunaenda maandamano yalipo.
Jeshi lazima lishiriki mambo ya kijamii kama harusi, mmisiba, mipira hadi tunavaa jezi.
Why Maandamano iwe nongwa wakati katiba imeruhusu?