Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

Polisi wa Tanzania ni wazuri sana! Elezea kwa mifano

Wema pekee wa Nilifaniwa na Polisi ni kumuachia mtu ambaye tayari amekiri kuiba TV na vitu vyangu vingine
Pole sana mkuu!

Hiyo ilikuwa ni bahati mbaya tu. Je! Hujawahi kumsikia hata jirani yako akielezea jambo jema alilotendewa na Polisi?
 
Mataa ya kamata pale hua kuna Bodaboda wanapaki, sasa Hawa Bodaboda anajuana na polisi wa pale. Jion kukiwa na operation kwa sababu ya uchache wa askari. Hawa Bodaboda ndo wanakamata madereva pikipiki wengine pale Mataa na kuwakabidhi kwa askari.

Nmetoka Kigamboni Nafika pale Mataa nakamatwa napelekwa kwa askari mmoja hiv ana nyota, naulizia kosa langu nilipo, nikamjibu sina kosa na pikipiki ina vibali vyote, KAGUA.

Hilo neno KAGUA ndo lilinionyesha wema wa polisi. Sku ile walinipa Sehem ya kulala pale central mpaka kesho yake saa9 mchana.

Nawashukuru kwa wema wao bila hivyo ningelala nyumban
Mkuu hebu funguka basi

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Nani katoa lawama
Soma comment namba 24, 25, na 26.

Labda niseme tu mkuu kuwa neno "lawama", kama nilivyolitumia, ni tungo tata.

Restless Hustler huenda hajalaumu, bali ameeleza kile anachokiamini kulingana na findings zake.

Findings zake haziwasifii Polisi wakati Uzi ulitaka comments zinazowaelezea kwa mtazamo chanya.
 
Nilikuwa nahama mkoa x kwenda mkoa y na samani zangu kwenye kikeri nilipofika katikati ya msitu polisi wakasimamisha wakakagua vielelezo vyote hamna shida ila mkaguaji akaona mguu wa furniture umetokezea juu ya chuma za kikeri ... Ila anamaliza kuuliza tu nasikia ka kak akaaaa mashine ya EFD ikitema risiti!

Ahsante polisi nyinyi mbinguni mtapasikia tu!
 
Kwa comments kama hizi, inaonekana ni watu wachache sana "wanaowapenda" Polisi.
 
Imagine polisi anashawishi raia waibe mzigo. Tulikataa, sasa Ili tusije pigwa chuma nikatumia akili kubwa kuwapiga chenga.
Daaah.
Tanzania kwa ufupi hatuna polisi
Ni mbinu gani uliitimia kiongozi 😄 kuwakwepa hawa majamaa
 
Back
Top Bottom