Polisi wa Tanzania Uso kwa Uso na GEN Z. Haamini macho yake

Akivunjwavunjwa msije kulialia.
Hao mnaita Gen Z fake si tuko nao majumbani.
Siku aliniletea mazarau nilitoka kihuni badae kakimbia ka mwizi huku namshindilia mawe,piga mtama chini kasanda.
Nilitaka nimshindilie jiwe la kichwa aliona hapa nafwa karukia miguuni kuomba msamaha huku analia.
Sasa nyie jitieni jeuri tu eti GenZ matako.
Mnaiga hadi jina kwa Wakenya pumbavu nyie hamna hata ubunifu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…